2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote.
Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu.
Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD kabisa.
Nasikitika kuona tangazo hili, roho inaniuma sana.
Domain yao imefungwa sababu ya hati miliki, kuonyesha maudhui ambayo sio mali yao bila kibali. TUTAWAKUMBUKA SANA.