zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nyerere alimpiga kisa Amin alivamia mipaka ya Tanzania same thing alichofanya Hamas, kumpiga Israel sababu alivamia mipaka yake.Nyerere alipompiga Idd amini Uganda, watu walisema basi umeshinda muache, Nyerere alisema hapana aondoke na Uganda sitaki kumuona. Idd Amini aliondoka na akafia uhamishoni.
Hahaha mimi nawaunga mkono wote, siungi mkono yeyote. Minataka wapigane mpaka tupate mshindi. Apigwe HAMAS sawa Apigwe ISRAEL sawa. Hapo wanapigana hakuna anayepigwa. Nashangaa kuna watu wanataka tuanze kuchanga huruma sijui tumuonee huruma nani, hiyo haisaidii. Yeyote atakaye legea atapigwa tu.Nyerere alimpiga kisa Amin alivamia mipaka ya Tanzania same thing alichofanya Hamas, kumpiga Israel sababu alivamia mipaka yake.
Cha ajabu unamuunga mkono Nyerere ila unaipinga Hamas wakati wote hao walikua na lengo la kulinda mipaka yao.
Sasa Miaka yoote hiyo walikuwa wapi, mpaka sasa. Unaweza kuta hata hao walioletwa hiyo 75 years ago hawapo tena.Israel wameanzisha ugomvi kwa kuikalia palestina kimabavu miaka 75 sasa. Ni ajabu sana watu mnaongelea October 7 wakati mgogoro una miaka 75!! Nlichogundua humu wengi ushabiki tu lakini hamjui historia.
Hao huwa wanapelekewa sniper mmoja tu anamaliza kazi sio jeshiKwanini asisakwe huyu kiongozi wao ndo achinjwe??
Duh kwahiyo Ukraine kwenda kuvamia Crimea ni makosa kisa tu Urusi iliteka hilo eneo la Ukraine?Walitpoka Gaza wakaenda kuvamia makazi ya Waisrael.
Walikua wanakandamizwa tu sasa uvumilivu umeisha. Mbona Ukraine mnamuunga mkono why sio palestina? Huu unafiki ni kwa faida ya naniSasa Miaka yoote hiyo walikuwa wapi, mpaka sasa.
Ukraine alichokozwa, Russia ali mega Crimea, sasa kaanza kutaka nchi nzima, kweli hapo kuna haja ya kukemea.Walikua wanakandamizwa tu sasa uvumilivu umeisha. Mbona Ukraine mnamuunga mkono why sio palestina? Huu unafiki ni kwa faida ya nani
Lini hilo eneo lilikuwa la Palestina? nilikwambia historia ya lile eneo haitusaidii, na sijui unaanzia wapi wewe. ninachotaka kusema Israel wana haki kuwa pale na hakuna wa kuwaondoa, Palestina wakitaka kuishi wakubali kuishi nao.Duh kwahiyo Ukraine kwenda kuvamia Crimea ni makosa kisa tu Urusi iliteka hilo eneo la Ukraine?
Eneo lilikua la palestina, walowezi wa kiyahudi wamelivamia sasa cha wakienda kuwafukuza eti ugaidi? Sasa toka lini kumfukuza mvamizi ni ugaidi.
Yeah same as Israel, walichokoza Palestina kwa kupoka maeneo yao na kila mwaka walowezi wa kiyahudi wanachukua maeneo ya kipalestina..kwa takwimu tu zaidi ya 40% ya ardhi ya Palestina (Narudia tena ARDHI ya Palestina sio israel) inakaliwa na walowezi wa Kiyahudi.Ukraine alichokozwa, Russia ali mega Crimea, sasa kaanza kutaka nchi nzim
Lini palestina wamesema hivyo? Au Hamas ndio Palestina? Nachofahamu Israel ndio wamefanya ethnic cleansing kwa kufukuza watu kutoka Gaza na kumbuka zaidi ya wapalestina million 2 walishakimbilia huko america ya kusini na uhamishoni kwingine maana wamezuiwa kamwe kukanyaga ardhi hiyo. Kama sio ethnic cleansing ni nini?Palestina wanakosea kutaka kuwaua wenzao wiliokaa nao kwa miaka yote hiyo. Unaposema unataka ku "wipe off" taifa moja kwenye uso wa dunia hatuwezi kukuunga mkono.
Acha kujitoa ufahamu, kule westbank umewahi sikia kuna vita? Ila ndio mmejitanua kwa ku occupy maeneo zaidi ya 40% ambayo ni makazi rasmi ya palestina. Hapa wengi naona hamuelewi wanachopigania sio Israel iondoke bali ISIKALIE maeneo ya PALESTINA. Mfano West Bank ni Palestina ila kuna waisrael zaidi ya laki 5 wamehamia huko na kupora ardhi sasa hapo nani mchokozi.Hayati Arafat alijitahidi, Mahamud Abbas anajitahidi wao hamasi wanaona hiyo siyo njia sahihi, basi wacha watwangane.
Palestine wanapigania existence ila Israel wanapigania kujitawanya sio existence. Kama existence basi Palestine haijawahi kuwa threat maybe Iran au hezbollah not palestina. Wao wanataka kuhodhi maeneo mengi zaidi ndio maana walowezi kila mwaka wanapora ardhi.Kama wanadhani uvumilivu umewashinda basi waachwe wapigane msilalamike, Ikiwa HAMAS wanatetea Palestine existance basi na Israel wanatetea existance yao vile vile.
Funyo gani wamefanya? Mbona Ukraine inafanya fujo dhidi ya Russia ila bado mnaipa silaha na support? Ila wakifanya Palestina wanaonekana wakorofi? Ni sawa na kusema binti akibakwa asipige kelele akubali tu anajisiwe maisha yaendelee!!lakini wasitafute huruma baada ya kufanya fujo, kunamajukwaa chungu nzima wangepeleka malalamiko yao.
Hao Israel si wana mipaka yao tokea 1948 sasa Gaza na West Bank sio maeneo ya Israel. Swali linakuja why walowezi zaidi ya laki tano wanapora ardhi maeneo ya palestina? Mimi naanzia 1948 na mipaka ya tokea 1967 na 1973 or whatever Gaza na westbank hazikua sehemu ya Israel. Sasa hao walowezi laki 5 wanakaaje kimabavu huko? Wakifukuzwa kwa risasi inakuaje unasema ni uchokozi wa palestina?Lini hilo eneo lilikuwa la Palestina? nilikwambia historia ya lile eneo haitusaidii, na sijui unaanzia wapi wewe.
Haki wameitoa wapi? Kwamba palestina hawana haki ya kuishi palestina? Ukisema Bible nitakuita muongo maana kibiblia nchi ya ahadi aliyopewa Abraham ilianzia misri, mpaka Syria na Iraq plus palestina nzima. Kwahiyo kama hoja ni NCHI YA AHADI basi hao Israel waende Syria wakaichukue pia, waichuku Misri n.k sio kuforce hapo Palestina wakati nchi ya ahadi sio hapo!!ninachotaka kusema Israel wana haki kuwa pale na hakuna wa kuwaondoa
Kama ni hivi basi Russia pia ana haki maana kihistoria Crimea ilikua part ya Russia, why mnapinga kurejesha nchi yao ya mababu zao ila kwa Israel mnaona ndio haki?Mnachotafuta hakipo. Mnataka historia hata mkiifuata bado hao palestina hawatakuwa na haki hiyo wanayodhani wanayo.
Dah apa namkumbuka Ruge alisema ogopa sana Mungu na Technologia naona sasa hii ni fedhehaUongo wa videos na taarifa za kuhusu kukutwa kwa mahandaki na silaha kwenye hospital,Jeshi la Israel lilifuta taarifa hizo baada ya kugundulika linadanganya na kutengeneza videos za uongo kuhalalisha mauaji na ushambuliaji wa vituo vya hospital kwani ni kinyume Cha sheria za vita!!
Propganda kubwa sana zinatumika!!View attachment 2816076View attachment 2816077View attachment 2816078
Haya waachwe wapigane mshindi achukue kila kitu, na msilalamike maana hakuna jawabu linaloweza kukupa auheni kwenye mgogoro huu. Ardhi ile hata ikigawanywa mara ngapi Palestine hawaridhiki, wao wanataka ardhi yote, na hilo haliwezekani. Hivyo suluhu hapa waachwe wapigane, maana hakuna anayepigwa bali wanapigana. Mshindi abebe kila kitu. Na atawale milele.Hao Israel si wana mipaka yao tokea 1948 sasa Gaza na West Bank sio maeneo ya Israel. Swali linakuja why walowezi zaidi ya laki tano wanapora ardhi maeneo ya palestina? Mimi naanzia 1948 na mipaka ya tokea 1967 na 1973 or whatever Gaza na westbank hazikua sehemu ya Israel. Sasa hao walowezi laki 5 wanakaaje kimabavu huko? Wakifukuzwa kwa risasi inakuaje unasema ni uchokozi wa palestina?
Haki wameitoa wapi? Kwamba palestina hawana haki ya kuishi palestina? Ukisema Bible nitakuita muongo maana kibiblia nchi ya ahadi aliyopewa Abraham ilianzia misri, mpaka Syria na Iraq plus palestina nzima. Kwahiyo kama hoja ni NCHI YA AHADI basi hao Israel waende Syria wakaichukue pia, waichuku Misri n.k sio kuforce hapo Palestina wakati nchi ya ahadi sio hapo!!
Kama ni hivi basi Russia pia ana haki maana kihistoria Crimea ilikua part ya Russia, why mnapinga kurejesha nchi yao ya mababu zao ila kwa Israel mnaona ndio haki?
Huoni unakua na ndimi mbili kwenye jambo moja?
Yani wewe huoni kuwa HAMAS ni tatizo? au HAMAS sio Wapalestina? sasa kwakuwa hutuwezi kuwatofautisha HAMAS na wapalestina inabidi ama raia wema wawatenge HAMAS au kipigo kiwapate wote.Yeah same as Israel, walichokoza Palestina kwa kupoka maeneo yao na kila mwaka walowezi wa kiyahudi wanachukua maeneo ya kipalestina..kwa takwimu tu zaidi ya 40% ya ardhi ya Palestina (Narudia tena ARDHI ya Palestina sio israel) inakaliwa na walowezi wa Kiyahudi.
Sasa swali langu hiki kina tofauti gani na wanachofanya Russia huko crimea au Donbass? Why mnakua wanafiki wakati makosa ni yale yale.
Lini palestina wamesema hivyo? Au Hamas ndio Palestina? Nachofahamu Israel ndio wamefanya ethnic cleansing kwa kufukuza watu kutoka Gaza na kumbuka zaidi ya wapalestina million 2 walishakimbilia huko america ya kusini na uhamishoni kwingine maana wamezuiwa kamwe kukanyaga ardhi hiyo. Kama sio ethnic cleansing ni nini?
Acha kujitoa ufahamu, kule westbank umewahi sikia kuna vita? Ila ndio mmejitanua kwa ku occupy maeneo zaidi ya 40% ambayo ni makazi rasmi ya palestina. Hapa wengi naona hamuelewi wanachopigania sio Israel iondoke bali ISIKALIE maeneo ya PALESTINA. Mfano West Bank ni Palestina ila kuna waisrael zaidi ya laki 5 wamehamia huko na kupora ardhi sasa hapo nani mchokozi.
Palestine wanapigania existence ila Israel wanapigania kujitawanya sio existence. Kama existence basi Palestine haijawahi kuwa threat maybe Iran au hezbollah not palestina. Wao wanataka kuhodhi maeneo mengi zaidi ndio maana walowezi kila mwaka wanapora ardhi.
Funyo gani wamefanya? Mbona Ukraine inafanya fujo dhidi ya Russia ila bado mnaipa silaha na support? Ila wakifanya Palestina wanaonekana wakorofi? Ni sawa na kusema binti akibakwa asipige kelele akubali tu anajisiwe maisha yaendelee!!
Really?
Wapi wamesema wanataka yote, wanachopinga ni walowezi wa kiyahudi laki 5 kuishi kimabavu kwenye ardhi yao.Ardhi ile hata ikigawanywa mara ngapi Palestine hawaridhiki, wao wanataka ardhi yote, na hilo haliwezekani.
Mbona Ukraine hamsemi hivi kuwa waachwe wapigane na Russia ili mshindi achukue vyote.Hivyo suluhu hapa waachwe wapigane, maana hakuna anayepigwa bali wanapigana.
Wanapigana wapi, Wapalestina ndio wanapigwa. Nchi hairuhusiwi kuwa na jeshi, silaha umeme au maji utasemaje wanapigana?maana hakuna anayepigwa bali wanapigana.
Acha ushabiki kule westbank hakuna Hamas ila mbona kila siku walowezi wanaiba ardhi. Yaani mnajifichia kwenye kichaka cha Hamas utadhani maeneo ambayo Hamas haina control ndio kuna amani?Yani wewe huoni kuwa HAMAS ni tatizo? au HAMAS sio Wapalestina? sasa kwakuwa hutuwezi kuwatofautisha HAMAS na wapalestina inabidi ama raia wema wawatenge HAMAS au kipigo kiwapate wote
Sasa kikundi kimoja kinahusika vipi na wapalestina wote? Wamekufa watoto 5000 unadhani hao ni Hamas? Huwezi kuuwa kila mtu Nigeria kisa Boko Haram imevamia Cameroon.Huwezi kusema PLO pekee ndio Wapalestina na HAMAS sio wapalestina.
Ndio hivyo tutaendelea kupigania haki ya wanaoonewa kma mnavyowapigania Ukraine. Mahaba ya kidini yamekujaa kichwani jifunze kwa Askofu Gwajima na Pastor Mgogo wamegoma kuunga mkono hao walowezi. Unataka kusema unajua dini sana kuliko Gwajima au Mgogo?Kwa msimamao wako wa KIHAMAS, wacha waendelee kutwangana tu, na mpaka mshindi apatikane na huyo
Kwahiyo Gwajima huyu mkono wa baunsa ndie unamtumia kama reference?Acha ushabiki kule westbank hakuna Hamas ila mbona kila siku walowezi wanaiba ardhi. Yaani mnajifichia kwenye kichaka cha Hamas utadhani maeneo ambayo Hamas haina control ndio kuna amani?
Sasa kikundi kimoja kinahusika vipi na wapalestina wote? Wamekufa watoto 5000 unadhani hao ni Hamas? Huwezi kuuwa kila mtu Nigeria kisa Boko Haram imevamia Cameroon.
Ndio hivyo tutaendelea kupigania haki ya wanaoonewa kma mnavyowapigania Ukraine. Mahaba ya kidini yamekujaa kichwani jifunze kwa Askofu Gwajima na Pastor Mgogo wamegoma kuunga mkono hao walowezi. Unataka kusema unajua dini sana kuliko Gwajima au Mgogo?
Ni Askofu hivyo anajua dini kuliko sisi wote, hayo ya baunsa au nini madhaifu tu ya kila mtu. Ni sawa na Chenge alikua fisadi ila haiondoi ukweli kwamba alikua anajua sheria sana kuliko kiongozi yoyote hii nchi.Kwahiyo Gwajima huyu mkono wa baunsa ndie unamtumia kama reference?
Kwani na wewe akili zako kama Gwajima ambaye Birmingham hajui iko bara gani [emoji2]
Si mlisema hakuna tunnelUhudi Barak, aliye kuwa waziri mkuu wa Israel, alisema Israel ndio walichimba hilo turnel hpo Al shifaa Hospital nadhani hata Hamasi sidhani kama walikuwa na habari nalo π
Israel kact film yo Hollywood kudanganya kakamata wapiganaji wawili wa Hamasi, bada ya dunia nzima kuwacheka wako wapi matekwa wa Hamasi π
Eti mwanajeshi wa Israel kasogea kwenye turnel anawambia vijana wa Hamasi wa surrender hi kali, hawajui hata ku acting, Hamasi atoke kwenye turnel na Muisrael asogee kwenye turnel vile bila hata woga hi kali, mpaa watu wanacheka
Hayo waonyesheni basi sura zao na majina yao ili Hamasi wakubali au wakanushe, lakini wamejua wazi Hamasi atawasuta kwa dalili.
Wacheni wajifurahishe
View: https://youtu.be/pRiLE9xk49c?si=BD9khlGifaxrj4pL