Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Atasema umemtukana....[emoji23] [emoji23]
 
Dogo Janja naye kawapora mwanamke,wema naye anawadharaulisha kila siku,yaani wanaboa sana hawa jamaa
 
Huyu kicheche hatari sana atakua anapenda kula migebuka pia; aina ya hawa vicheche wengi wanapatikana kule mwisho wa reli; Kigoma.
Ila afadhali umejitahidi umemuua maana hao watoto wataogopa hawatarudi tena.Vicheche hatari.
 
nilidhani ni mwanamke nilishakuandalia matusi.
Adui yako mwombee njaa..! Nakupenda sana si kwasababu ya chochote zaidi ya kuwa adui wangu kwa upande wako..!

Mathayo 5:43-48

[43]Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
[44]lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
[45]ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
[46]Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
[47]Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?
[48]Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

nilidhani ni mwanamke nilishakuandalia matusi.
Adui yako mwombee njaa..! Nakupenda sana si kwasababu ya chochote zaidi ya kuwa adui wangu kwa upande wako..!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Unacheka nini, anawezaje kuvamia ikulu amani ikawepo duniani...???
 
Hawa wadudu ni nyokolist,wakiishawahi laza banda la kuku 60 wa kienyeji home.

Anakamata shingo ananyonya damu,anaacha kuku akigalagala hapo,siku yake ilifika akakutana na mtu anayejulikana mwenye kuku zake,halafu ni mkali ukifanya mzaha anakupa kilema.
 
Huyu kicheche hatari sana atakua anapenda kula migebuka pia; aina ya hawa vicheche wengi wanapatikana kule mwisho wa reli; Kigoma.
Ila afadhali umejitahidi umemuua maana hao watoto wataogopa hawatarudi tena.Vicheche hatari.
Mkuu kweli unawatambua vyema, maana hapa home kweli migebuka imejaa kwa firiji, tunaletewa kutoka kigoma na dagaa wa kigoma wamejaa kweli.
 
eti kumrushia kicheche teke na yeye akajikojolea kwa woga ahaaa
Mbaya zaidi eti anasema "vita ilikua kali sana"....... hahaahaaaaa, kweli nimecheka sana baada ya kutumia akili nyingi na kusoma kwa makini.... kumbe upupumtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…