Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Atasema umemtukana....[emoji23] [emoji23]Hongera umepata nyama pori ila mambo kama haya wanaume wa Dar,mnawapta point tatu nzima wanaume wa mikoani,yaani kicheche anakutisha hadi unamuita mshikaji wako akusaidie! Chaaa,eti vita ilikuwa kali! Wewe ,na kicheche? Sisi huku dogo tu wa shule ya msingi anapambana na simba dume,Khaaa!