Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

Nasema Tena sitaki KIKOKOTOO,sitaki KIKOKOTOO,sitakiiiii,vipi tunapangiana Hela zetu jamani? Mlizitumia za Nini? Nasema sitaki KIKOKOTOO nawaambia
 
Wapewe chao chote yanini wawape 40%?
Ukipewa chote pension ya Kila Mwezi hamna huko nyuma Mtu alikuwa akistaafu anapewa chake chote ilikuwa aibu unakuta Mtu alikuwa mkuu wa idara,taasisi au Jeshi au katibu mkuu analia Lia kuwa ohh sisi tumetumikia nchi lakini ona tulivyochoka anamaliza pension yake ya mkupuo anaanza kusumbua ndugu na watoto kuwa ohh hawanijali anasumbua ndio ikaamuliwa hapana Mtu awe na chake monthly pension Cha kumsaidia asisumbue ndugu au serikali na toka hapo imesaidia.

Kikongwe kastaafu atafanya nini kazeeka kachoka mwili Hadi akili ubunifu sifuri ataishia kutapeliwa tu na kufungua vibiashara uchwara ambavyo faida haitafika Hata asilimia 10 ya mshahara alikuwa akilipwa kazini
 
Nasema Tena sitaki KIKOKOTOO,sitaki KIKOKOTOO,sitakiiiii,vipi tunapangiana Hela zetu jamani? Mlizitumia za Nini? Nasema sitaki KIKOKOTOO nawaambia
Tema mate chini na uombe Mungu akusamehe

Nenda mtaani kawahoji wastaafu wakwambie uzoefu wao wangependa Nini Hela ya mkupuo nyingi au ya Kila Mwezi iwe nyingi
 
Wewe,siyo Afya kivipi? Na staafu nikiwa na Miaka 60, Halafu unaniambia Kuna Maisha,Maisha Gani na wewe? Lipa Hela, Wabunge wanachukua zote, wanaathirika Nini?
 
Tema mate chini na uombe Mungu akusamehe

Nenda mtaani kawahoji wastaafu wakwambie uzoefu wao wangependa Nini Hela ya mkupuo nyingi au ya Kila Mwezi iwe nyingi
Nimekwambia sitaki KIKOKOTOO narudia Tena sitaki KIKOKOTOO.Mtaani wapi na wewe? Nastaafu miaka 60 Halafu unaniambia nakuwekea? Miaka nimekadiriwa 72, hiyo miaka 12 ndiyo ya kuniwekea Mimi Hela zangu? Sitaki KIKOKOTOO nawaambia
 
Sitaki KIKOKOTOO, kwani hao wasio na pension wanaishije? Acha kukariri mambo, yaani wewe ufanye kazi miaka 30+ Halafu upate asilimia 40? Eti nitashundwa kuishi, laaah....Mawozo Gani hayo?
 
Ongezeko toka 33% mpk 40% haina effects kubwa wangebadili umri wa kuishi toka 12 atleast kua 15 ingekua na impact kubwa.
 
Unafikiri kutumia makalio
 
Mshahara wake shilingi ngapi nikupe hesabu
Da, nilikuwa naulizia kinadharia tu na siyo mtu halisi. Mishahara ya waalim siijui kabisa. BTW hivi kiasi cha pension anacholipwa kila mwezi kinaweza kuwa sawa na mshahara aliokuwa analipwa?
 
Sasa mpaka Rais aseme au mnaangalia Feasibility ya hayo maamuzi? Hapa ndipo wanasiasa wanapokosea. Ila ni uamuzi wa kutia matumaini kidogo.
 
Wewe,siyo Afya kivipi? Na staafu nikiwa na Miaka 60, Halafu unaniambia Kuna Maisha,Maisha Gani na wewe? Lipa Hela, Wabunge wanachukua zote, wanaathirika Nini?
Labda uwe na maradhi ya kufa kesho

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Msuguri Sasa hivi ana miaka 104 na Yuko fit alistaafu jeshi akiwa na miaka 60 anaendelea kulipwa pension monthly Toka astaafu miaka 44 iliyopita akiwa na miaka 60

Usicheze na pension ya mwezi Mzee Yuko fit Tu na umri wake WA Miaka 104 hasumbui watoto wala ndugu

Kama una maradhi utajijua lakini mifuko ya pension haiwezi Fanya maamuzi Kwa kuangalia wagonjwa ambayo maradhi wengine waklkoyatoa wanaojua wenyewe yawe wengine waneyapata sababu ya life style wakiwa kazini wakaendekeza umalaya hadi kupata ukimwi huko wanaishi Tu Kwa matumaini kifo wakijua siku yeyote kinatua kwao


Na hao wagonjwa wastaafu ni asilimia ndogo Sana ndio wanataka walipwe chote wakafie mbele wanataka kufa na watu wazima

Serikali isisikilize hiyo migonjwa inaumwa ukimwi hiyo asilimia 40 inatosha msiumize watu wazima Kwa sababu ya kelele za wagonjwa wanaoishi Kwa ARV
 
Bado ni ujinga tu. Watumishi wapewe hela zao zote. Mbona wabunge wanapewa 100%???
 
Bado ni ujinga tu. Watumishi wapewe hela zao zote. Mbona wabunge wanapewa 100%???
KAZI ya mbunge ya mkataba Miaka mitano Kwa heri Hana monthly pension nenda na wewe kagombee kwani nani kakuzuia?
 
Mpe mtu hela yake yote. Usituletee ngonjera za akina Msuguri hapa. By the way, mtu akipewa hela yake halafu akaishiwa, serikali inawashwa na nini?
 
"Serikali imesema itaendelea kuangalia maslahi ya wastaafu kwa kuzingatia tathmini ya uhai na uendelevu wa mifuko". Hiyo ni lugha ya uongo wa wanasiasa, hakuna tena cha kuangalia ndiyo kwaheri.
 
Mpe mtu hela yake yote. Usituletee ngonjera za akina Msuguri hapa. By the way, mtu akipewa hela yake halafu akaishiwa, serikali inawashwa na nini?
Ushauri wangu Kwa serikali MTU yeyote anayetaka pension ya mkupuo akapimwe Kwanza afya Yake sababu huko mbeleni kama ana maradhi na Hana monthly pension araichaifua serikali kuwa haimwangalii matibabu sababu atakuwa Hana hela ya kununua panadol

Hii asilimia 40 imewekwa binafsi napinga wamesikiliza wagonjwa ambao wanaoishi Kwa matumaini kuwa siku yeyote wanakufa hawajawatetendea haki watu wazima kile kikotoo cha asilimia 33 kingebaki ili.mtu alistaafu paste monthly pension ya asilimia 67 ya mshahara WA kustaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…