Hadi ufeHv mfano ukilipwa 50% kwa mkupuo, hy 50% inayobaki ni unalipwa mpaka itakapoisha au utakapokufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi ufeHv mfano ukilipwa 50% kwa mkupuo, hy 50% inayobaki ni unalipwa mpaka itakapoisha au utakapokufa?
Nasema Tena sitaki KIKOKOTOO,sitaki KIKOKOTOO,sitakiiiii,vipi tunapangiana Hela zetu jamani? Mlizitumia za Nini? Nasema sitaki KIKOKOTOO nawaambiaAkiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Ukipewa chote pension ya Kila Mwezi hamna huko nyuma Mtu alikuwa akistaafu anapewa chake chote ilikuwa aibu unakuta Mtu alikuwa mkuu wa idara,taasisi au Jeshi au katibu mkuu analia Lia kuwa ohh sisi tumetumikia nchi lakini ona tulivyochoka anamaliza pension yake ya mkupuo anaanza kusumbua ndugu na watoto kuwa ohh hawanijali anasumbua ndio ikaamuliwa hapana Mtu awe na chake monthly pension Cha kumsaidia asisumbue ndugu au serikali na toka hapo imesaidia.Wapewe chao chote yanini wawape 40%?
Tema mate chini na uombe Mungu akusameheNasema Tena sitaki KIKOKOTOO,sitaki KIKOKOTOO,sitakiiiii,vipi tunapangiana Hela zetu jamani? Mlizitumia za Nini? Nasema sitaki KIKOKOTOO nawaambia
Wewe,siyo Afya kivipi? Na staafu nikiwa na Miaka 60, Halafu unaniambia Kuna Maisha,Maisha Gani na wewe? Lipa Hela, Wabunge wanachukua zote, wanaathirika Nini?Kama huelewi 50 50 tukueleweshe Kwa lugha Rahisi maana yake unachukua 50 percent mkupuo na monthly pension utalipwa 50 percent ya mshahara ukikuwa unapata maisha Yako yote
Ukitaka 80 percent mkupuo ina maana utalipwa monthly pension 20 percent ya mshahara wako maisha Yako yote kitu ambacho Sio Afya sana Kwa mstaafu
Nimekwambia sitaki KIKOKOTOO narudia Tena sitaki KIKOKOTOO.Mtaani wapi na wewe? Nastaafu miaka 60 Halafu unaniambia nakuwekea? Miaka nimekadiriwa 72, hiyo miaka 12 ndiyo ya kuniwekea Mimi Hela zangu? Sitaki KIKOKOTOO nawaambiaTema mate chini na uombe Mungu akusamehe
Nenda mtaani kawahoji wastaafu wakwambie uzoefu wao wangependa Nini Hela ya mkupuo nyingi au ya Kila Mwezi iwe nyingi
Sitaki KIKOKOTOO, kwani hao wasio na pension wanaishije? Acha kukariri mambo, yaani wewe ufanye kazi miaka 30+ Halafu upate asilimia 40? Eti nitashundwa kuishi, laaah....Mawozo Gani hayo?Ukipewa chote pension ya Kila Mwezi hamna huko nyuma Mtu alikuwa akistaafu anapewa chake chote ilikuwa aibu unakuta Mtu alikuwa mkuu wa idara,taasisi au Jeshi au katibu mkuu analia Lia kuwa ohh sisi tumetumikia nchi lakini ona tulivyochoka anamaliza pension yake ya mkupuo anaanza kusumbua ndugu na watoto kuwa ohh hawanijali anasumbua ndio ikaamuliwa hapana Mtu awe na chake monthly pension Cha kumsaidia asisumbue ndugu au serikali na toka hapo imesaidia.
Kikongwe kastaafu atafanya nini kazeeka kachoka mwili Hadi akili ubunifu sifuri ataishia kutapeliwa tu na kufungua vibiashara uchwara ambavyo faida haitafika Hata asilimia 10 ya mshahara alikuwa akilipwa kazini
Unafikiri kutumia makalioMonthly pension itashuka sana waulize wastaafu waliolipwa mkupuo asilimia 25 wanaishi maisha ya Raha sana pension ya Kila mwezi hawapishani sana na walioko ofisini sababu monthly pension ni kama 75 percent ya mshahara walikuwa wanapata
Ukiweka asilimia 50 maana yake unataka monthly pension Yako iwe nusu ya mshahara uliokuwa Ukipata kazini haiko vizuri Kwa mstaafu
Binafsi ningepekeza wastaafu walipwe asilimia kumi tu mkupuo ili monthly pension Yao iwe asilimia 90 ya mshahara waliokuwa wakipata kazini
Lakini mtoto akililia wembe mpe ndicho serikalli imefanya
Da, nilikuwa naulizia kinadharia tu na siyo mtu halisi. Mishahara ya waalim siijui kabisa. BTW hivi kiasi cha pension anacholipwa kila mwezi kinaweza kuwa sawa na mshahara aliokuwa analipwa?Mshahara wake shilingi ngapi nikupe hesabu
Sasa mpaka Rais aseme au mnaangalia Feasibility ya hayo maamuzi? Hapa ndipo wanasiasa wanapokosea. Ila ni uamuzi wa kutia matumaini kidogo.Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Labda uwe na maradhi ya kufa keshoWewe,siyo Afya kivipi? Na staafu nikiwa na Miaka 60, Halafu unaniambia Kuna Maisha,Maisha Gani na wewe? Lipa Hela, Wabunge wanachukua zote, wanaathirika Nini?
KAZI ya mbunge ya mkataba Miaka mitano Kwa heri Hana monthly pension nenda na wewe kagombee kwani nani kakuzuia?Bado ni ujinga tu. Watumishi wapewe hela zao zote. Mbona wabunge wanapewa 100%???
Mpe mtu hela yake yote. Usituletee ngonjera za akina Msuguri hapa. By the way, mtu akipewa hela yake halafu akaishiwa, serikali inawashwa na nini?Labda uwe na maradhi ya kufa kesho
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Msuguri Sasa hivi ana miaka 104 na Yuko fit alistaafu jeshi akiwa na miaka 60 anaendelea kulipwa pension monthly Toka astaafu miaka 44 iliyopita akiwa na miaka 60
Usicheze na pension ya mwezi Mzee Yuko fit Tu na umri wake WA Miaka 104 hasumbui watoto wala ndugu
Kama una maradhi utajijua lakini mifuko ya pension haiwezi Fanya maamuzi Kwa kuangalia wagonjwa ambayo maradhi wengine waklkoyatoa wanaojua wenyewe yawe wengine waneyapata sababu ya life style wakiwa kazini wakaendekeza umalaya hadi kupata ukimwi huko wanaishi Tu Kwa matumaini kifo wakijua siku yeyote kinatua kwao
Na hao wagonjwa wastaafu ni asilimia ndogo Sana ndio wanataka walipwe chote wakafie mbele wanataka kufa na watu wazima
Serikali isisikilize hiyo migonjwa inaumwa ukimwi hiyo asilimia 40 inatosha msiumize watu wazima Kwa sababu ya kelele za wagonjwa wanaoishi Kwa ARV
"Serikali imesema itaendelea kuangalia maslahi ya wastaafu kwa kuzingatia tathmini ya uhai na uendelevu wa mifuko". Hiyo ni lugha ya uongo wa wanasiasa, hakuna tena cha kuangalia ndiyo kwaheri.Kupitia bajeti, Rais Samia Suluhu ameelekeza kuongezwa malipo ya mkupuo kutoka asilimia 33 iliyopo sasa hadi asilimia 40. Mabadiliko haya yatawagusa kundi kubwa la watumishi wa umma wakiwepo Walimu, kada ya afya, Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na makundi mengine yaliyopo Serikali kuu na Serikali za Mitaa.
Pia Rais ameelekeza kuongezewa zaidi kundi lililokuwa likipokea asilimia 25 hapo awali na kupandishwa kwenda asilimia 33 sasa itakuwa asilimia 35 kuanzia mwaka wa huu wa fedha.
Serikali imesema itaendelea kuangalia maslahi ya wastaafu kwa kuzingatia tathmini ya uhai na uendelevu wa mifuko.
Ushauri wangu Kwa serikali MTU yeyote anayetaka pension ya mkupuo akapimwe Kwanza afya Yake sababu huko mbeleni kama ana maradhi na Hana monthly pension araichaifua serikali kuwa haimwangalii matibabu sababu atakuwa Hana hela ya kununua panadolMpe mtu hela yake yote. Usituletee ngonjera za akina Msuguri hapa. By the way, mtu akipewa hela yake halafu akaishiwa, serikali inawashwa na nini?