ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Hapana na hata wangeozewa pension ya mwezi itashuka kuliko.mtu anayopokea sasaSasa na wale waliokuwa wamelipwa teyari itakuwaje Wataongezewa?
Museven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.Yn ushindwe kufanya mambo yako ya msingi ukiwa kijana uje ufanye ukiwa umestaafu?
Hakuna nchi yeyote duniani inalipa hivyo Halafu zikilipwa Zote maana yake pension ya.kila mwezi hatapewaWapewe chao chote yanini wawape 40%?
Usijifananishe na Museveni na Trump walijipanga Toka Vijana.Hawakuanza kujipanga baada ya kustaafu na kupata pension ya mkupuoMuseven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.
Bado hiyo si sababu ya mtu(mstaafu)kutokudai fedha zake halali.Hakuna kinachohalalisha lolote bila mwenye fedha zake kuridhia.Hata slay-queens wakipita nazo hilo siyo shauri la mtu.Wangapi kwani wametapeliwa hadi ihalalishwe kwa wote?Huo ni utapeli wa lugha lainilaini.Ishi kwenye point yangu ya kushindwa kufanya makubwa ukiwa kijana.
Anyway, ukiona mstaafu anapambana sana kupata mafao yake ujue huyo hakujipanga akiwa kijana kwahy bora serikali impe kdg kdg ili maslay queen wasije kupita na pesa ya kiinua mgongo ht hy pesa ya mkupuo asipewe.
Afu kngn, kama unapewa 40% kwa mkupuo na 60% mdogo mdogo tena Sir God akikubariki ukakaa muda mrefu hadi ile 60% kupitiliza mbona hamlalamiki?
Sio kweli..!Hivi unajua kwamba hiyo monthly pension unalipwa miaka kumi tu na ikitokea hujafa
basi mzigo ni wako na familia yako?
Angalau tena ikiwezekana 60 - 40 , asilimia 60 mkupuo na asilimia 40 pensheniKwanini wasiweke 50-50!
jana mwigulu kamtaja mara 50 kwenye hutba yake , hatari sana hii kitu, ndiomaana yule umbwa akamfananisha na mitume. SHAMENchi ambayo kila kitu hadi Rais ndio aseme ni zaidi ya tatizo
Mwalimu wa level gani: Certificate, Diploma au Degree? Ngazi ya mshahara wakati anastaafu ni ipi: TGTS D,E,F,G,H au l?Hivi hiyo monthly payment huwa inategemea vigezo gani? Kwa mwalimu anaweza kupata ngapi kwa makario eg kama atalipwa 40% kwa mkupuo.
CHADEMA ndio walishusha na kuweka kikokotoo au WApinzani wa CHADEMA ndio walikiweka alafu kila kukaribia uchaguzi wanakuwa wanakibadilisha?Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
====
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
100%Hii 40% (malipo ya mkupuo ya kiinua mgongo) bado haitoshi, serikali haijasikia bado, msitudanganye
Tunataka kikokotoo cha awali kabla hiki cha 33% kuanza kutumika.
Serikali iache wizi mara moja kuibia wastaafu fedha zao. Wabunge kama mnajipenda kwenye hili, kataeni pendekezo hili la serikali. Wastaafu Tunataka kikokotoo cha 50%. Otherwise tutajiunga na CHADEMA kuuwasha moto wa kuwakataa.!!
Serikali iache wizi wa kuiba kupitia kwa wastaafu na kufanyia anasa pesa zao!
Lipeni madeni ya Trl 4.6 mlizokopa kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii Ili wastaafu tulipwe malipo stahiki ya kiinua mgongo cha 50% kama awali kabla hamjaanza kuchota fedha za mifuko hii!!
Sasa ndio unawafananisha na watu wanaoutaka urais?Museven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.
Monthly payment wakati ukistaafu ndo Kufa Kumekaribia....Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
wanaofoka foka wengi ni vijana under 40, wazee wanaojua uhalisia hawawezi taka hii kitu ya kuchukua pesa yote mana wanajua athari zake!Duh sasa hawa raia humu wanaotaka kulipwa zote, kama hizo akili ndio walikuwa wanazitumia huko kazini bc walikuwa mizigo huko kazin
Athari zake ni zipi?wanaofoka foka wengi ni vijana under 40, wazee wanaojua uhalisia hawawezi taka hii kitu ya kuchukua pesa yote mana wanajua athari zake!
maiaha yanakua ya shida sana mtaani,Athari zake ni zipi?
Kwa hiyo unatunza wewe au anaishi kwako? Hawa Vijana Graduates wanaishi Mtaani bila Ajira nao ni Wastaafu? Kipato hawana wengine wapo kwa Wazazi to-date over 30maiaha yanakua ya shida sana mtaani,
imagine mtu alikua analipwa 1.5m (mshahara aliostaafu nao), then akaja mtaani akanunua nyumba (wengi wanafanya hivyo), then pesa ikakata, maisha atakayoishi Mungu ndiye anajua!
nina jirani yangu mpk kesho analalamika, eti hakupewa elimu namna ya kutumia ile pesa vizuri, matokeo yake saizi kila mwezk anapata kiduchu na gharama za maisha zimepanda!
Hakuna nchi yeyote duniani inalipa hivyo Halafu zikilipwa Zote maana yake pension ya.kila mwezi hatapewa