Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

Sio lazima watumishi wote kulipwa kwa kikokotoo kimoja. Wanaweza kupewa options kila mti achague kilingana na circumstances zake. Unaweza kuweka options tatu;
1. No lump sum. Mtu analipwa pesa ya mwezi tu kwa kiasi kinachokaribiana na mshahara aliokuwa analipwa.

2. Lump sum 25% , kinachobaki analipwa monthly.

3. 40% lump sum, kinachobaki analipwa monthly.

Watu wanatofautiana circumstances, kwahiyo kukiwa na namna moja tu ya malipo, wapo watakaoathirika. Hali hiyo inaepukika kwa kuwapa options.
 
Sasa na wale waliokuwa wamelipwa teyari itakuwaje Wataongezewa?
Hapana na hata wangeozewa pension ya mwezi itashuka kuliko.mtu anayopokea sasa

Yao walioongezewa wakijua mitaani pension Yao ya mwezi watapitwa na yule aliyechukua Kwa kikokotoo cha.zamani
 
Yn ushindwe kufanya mambo yako ya msingi ukiwa kijana uje ufanye ukiwa umestaafu?
Museven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.
 
Museven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.
Usijifananishe na Museveni na Trump walijipanga Toka Vijana.Hawakuanza kujipanga baada ya kustaafu na kupata pension ya mkupuo
 
Ishi kwenye point yangu ya kushindwa kufanya makubwa ukiwa kijana.

Anyway, ukiona mstaafu anapambana sana kupata mafao yake ujue huyo hakujipanga akiwa kijana kwahy bora serikali impe kdg kdg ili maslay queen wasije kupita na pesa ya kiinua mgongo ht hy pesa ya mkupuo asipewe.

Afu kngn, kama unapewa 40% kwa mkupuo na 60% mdogo mdogo tena Sir God akikubariki ukakaa muda mrefu hadi ile 60% kupitiliza mbona hamlalamiki?
Bado hiyo si sababu ya mtu(mstaafu)kutokudai fedha zake halali.Hakuna kinachohalalisha lolote bila mwenye fedha zake kuridhia.Hata slay-queens wakipita nazo hilo siyo shauri la mtu.Wangapi kwani wametapeliwa hadi ihalalishwe kwa wote?Huo ni utapeli wa lugha lainilaini.
 
Hivi hiyo monthly payment huwa inategemea vigezo gani? Kwa mwalimu anaweza kupata ngapi kwa makario eg kama atalipwa 40% kwa mkupuo.
Mwalimu wa level gani: Certificate, Diploma au Degree? Ngazi ya mshahara wakati anastaafu ni ipi: TGTS D,E,F,G,H au l?
 
Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%

Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha


====

Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
CHADEMA ndio walishusha na kuweka kikokotoo au WApinzani wa CHADEMA ndio walikiweka alafu kila kukaribia uchaguzi wanakuwa wanakibadilisha?
 
Hii 40% (malipo ya mkupuo ya kiinua mgongo) bado haitoshi, serikali haijasikia bado, msitudanganye

Tunataka kikokotoo cha awali kabla hiki cha 33% kuanza kutumika.

Serikali iache wizi mara moja kuibia wastaafu fedha zao. Wabunge kama mnajipenda kwenye hili, kataeni pendekezo hili la serikali. Wastaafu Tunataka kikokotoo cha 50%. Otherwise tutajiunga na CHADEMA kuuwasha moto wa kuwakataa.!!

Serikali iache wizi wa kuiba kupitia kwa wastaafu na kufanyia anasa pesa zao!

Lipeni madeni ya Trl 4.6 mlizokopa kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii Ili wastaafu tulipwe malipo stahiki ya kiinua mgongo cha 50% kama awali kabla hamjaanza kuchota fedha za mifuko hii!!
100%
 
Museven ana 80+ ni Rais, Trump ana 75+ anataka urais. Unaongelea Wenye 55 na 60 kuwa hawana la kufanya😃 Mawazo mgando hayo. Mnaoamini Wazee tuu ndiyo hufa ilihali Kila mtu kapangiwa Miaka ya kuishi. Usipangie Watu Maisha please.
Sasa ndio unawafananisha na watu wanaoutaka urais?
 
Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo

Hela ya mkupuo hukata upesi
Monthly payment wakati ukistaafu ndo Kufa Kumekaribia....
 
Serikalini zamani kulikuwa na kada ya Operational staff(wahudumu wa ofisi) na maafisa.Wahudumu (Operational staff) na wafanya Kazi wa mkataba walikuwa wanachangia mfuko wa NSSF .TUCTA na Idara kuu ya utumishi, Serikalini inatakiwa itoleee ufafanuzi kuhusu watumishi wa Serikali ngazi ya Operational kama wanahusika au wamesahailika kwa maana wao walikuwa kwenye mfuko wa NSSF
Hili agizo la serikali lisiwache watumishi wa Serikali (operational staff) ambao walikuwa wanachangia NSSF.Itakuwa ni kosa kubwa kama uamuzi huu unawahusu watumishi wa Serikali ambao walikuwa wanachangia PSSSF na kuwaachia wahudumu wa ofisi.

Ushauri

NSSF nayo iwalipe watumishi wa Serikali ambao wanachangia NSSF ili kuleta equity kwa watumishi wote wa Serikali.

TUCTA na Idara kuu ya utumishi Serikalini wawafirikie watumishi wa Serikali ambao walikuwa wanachangia NSSF
 
Athari zake ni zipi?
maiaha yanakua ya shida sana mtaani,
imagine mtu alikua analipwa 1.5m (mshahara aliostaafu nao), then akaja mtaani akanunua nyumba (wengi wanafanya hivyo), then pesa ikakata, maisha atakayoishi Mungu ndiye anajua!

nina jirani yangu mpk kesho analalamika, eti hakupewa elimu namna ya kutumia ile pesa vizuri, matokeo yake saizi kila mwezk anapata kiduchu na gharama za maisha zimepanda!
 
Kwa
maiaha yanakua ya shida sana mtaani,
imagine mtu alikua analipwa 1.5m (mshahara aliostaafu nao), then akaja mtaani akanunua nyumba (wengi wanafanya hivyo), then pesa ikakata, maisha atakayoishi Mungu ndiye anajua!

nina jirani yangu mpk kesho analalamika, eti hakupewa elimu namna ya kutumia ile pesa vizuri, matokeo yake saizi kila mwezk anapata kiduchu na gharama za maisha zimepanda!
Kwa hiyo unatunza wewe au anaishi kwako? Hawa Vijana Graduates wanaishi Mtaani bila Ajira nao ni Wastaafu? Kipato hawana wengine wapo kwa Wazazi to-date over 30
 
Hakuna nchi yeyote duniani inalipa hivyo Halafu zikilipwa Zote maana yake pension ya.kila mwezi hatapewa

Kwani lazima ufuate nchi nyingine zinazofanya? Mbona Ghadhafi alikuwa awapangishia vijana nyumba bure basi na sisi tufanye....UK kama hauna kazi kuna social security unalipwa fedha za kujikimu basi na sisi tufanye...Canada kuna sehemu serikali inagawa chakula buire basi na sisi serikali yetu ifanye.
 
Back
Top Bottom