Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine.

Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa.
Snapinsta.app_353468679_782493940038757_5053099140568539441_n_1080.jpg


UPDATES...
20230615_040115.jpg
 
Analiaga huyu Yanga ikifungwa.....same tu me wanafunzi wangu wakishindwa kuperform vyema hesabu za Kwa paper naanza kulia darasani.

Wanafunzi wakiona nimelia wanajua hapa tumepona fimbo...paper linalokuja wananipigia hiyo math balaa.

Nami siachi kuwaambia tuimbe wimbo wetu wa MUNGU ASANTE! Wanaimbajeeee🤸🤸🤸🤸
 
Yaani misimu miwili mfululizo amewapelekea moto wapinzani wake! Halafu machale yamcheze msimu ambao kikosi kiko katika kilele chake cha mafanikio!!
Machale kumdesa kimataifa achna na hii ligi yko mtu akishnda mechi moja anatoka mkiani mpaka nafasi ya tatu, mkivuka hata makundi nyinyi klabu bingwa Niko nimekaa pale nikisubiri kuitwa umbwa
 
Back
Top Bottom