Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

Fainali ni home and away.
 
kwa hiyo kuna fainali itachezwa nyumbani kwa usm alger
Ndio maana yake, Yanga wanatakiwa kumalizana na hawa Waarabu kesho kwa Mkapa.

Ulaya fainali ni moja kwa sababu mashabiki wa ulaya wanajimudu kiuchumi, wana uwezo wa kusafiri nchi yoyote kuisuport timu yao hivyo fainali ya UEFA ni moja na inachezwa kwenye neutral ground.

CAF waliiga huo mfumo lakini kwa Africa ni ngumu hautekelezeki, na hata ukilazimisha huo mfumo utakuja kukuta fainali INA mashabiki wachache na kupoteza hata maana halisi ya fainali.
 
hapo sasa nimeelewa mkuu
 
Siyo wawakilishi wa nchi, Bali Yanga inawakilisha Waafrica wote kasoro Waarabu, kumbuka timu zilizoingia fainali tatu ni za Waarabu na moja ndio ya Waafrica ambao ni Yanga Africa, what a history.🎷🎷
Ninakubali mkuu.
 
Siyo wawakilishi wa nchi, Bali Yanga inawakilisha Waafrica wote kasoro Waarabu, kumbuka timu zilizoingia fainali tatu ni za Waarabu na moja ndio ya Waafrica ambao ni Yanga Africa, what a history.[emoji449][emoji449]
[emoji123] sawa Mkuu
 
Yanga 3 wao 1
 
Kwani tickets hua zina andikiwa huyu ni shabiki wa timu flani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…