Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Na mimi changu cha usafi nikifanyeje ?
 
Basi sawa, lakini wengi wapo kinyume na uamuzi wa kuchoma vyeti, ni sawa na kuchoma pesa kwa sababu umezipata mpya.
Inategemea unawaza kufanya nini kwangu hivi vyeti vilinifanya nihisi nimefungwa kwa ajili ya ajira ya kitu fulani na si vinginevyo.
 
shukrani mkuu kwa kunitia moyo kwa sasa hata nikipata kibarua cha elfu 2 nafanya sina tena option nyingine
He.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?
 
He.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?
yeah hata kazi za wasio na vyeti nafanya
 
Aisee sawa kama unahisi ni uamuzi wa busara kwa sasa! Ila usije siku ukavikumbuka baada ya kutokea mchongo wa maana na vyeti ulishavichana. Kwani huwezi kuingia mtaani huku ukiwa umefungia kabatini hivyo vyeti?

Kwani wewe umemwamini kweli kuwa amechana vyeti? Huyu anafurahisha baraza tu.
 
He.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?
kwa kujichanganya mtaani lazima mwanzo ufanye hizo za ujira mdogo then unaimprove
 
Mbona nasikiaga haiwezekani kupata cheti Mara ya pili? Nasikia ni issue kweli kupata vyeti km umepoteza,Ila Sina uhakika na hiki
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Hasira hasara bwashee usisahau haka ka metheli 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…