Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, lakini kwa akili hii huwezi kuwa na vyeti credible, labda vile vilivyo printiwa stationery ya pale mtaani kwenu....uwezo wako wa kufikiri mdogo mno
mkuu I thinki am better than thatSawa, lakini kwa akili hii huwezi kuwa na vyeti credible, labda vile vilivyo printiwa stationery ya pale mtaani kwenu....hapana mkuu
Basi sawa, lakini wengi wapo kinyume na uamuzi wa kuchoma vyeti, ni sawa na kuchoma pesa kwa sababu umezipata mpya.mkuu I thinki am better than that
Inategemea unawaza kufanya nini kwangu hivi vyeti vilinifanya nihisi nimefungwa kwa ajili ya ajira ya kitu fulani na si vinginevyo.Basi sawa, lakini wengi wapo kinyume na uamuzi wa kuchoma vyeti, ni sawa na kuchoma pesa kwa sababu umezipata mpya.
Ameamua kuaingia kitaa, atafanikiwa. Mi mwenyewe natafuta ajiraAnasota kitaa anataka ajira hebu mpatie
shukrani mkuu kwa kunitia moyo kwa sasa hata nikipata kibarua cha elfu 2 nafanya sina tena option nyingineAmeamua kuaingia kitaa, atafanikiwa. Mi mwenyewe natafuta ajira
kwani nikivichana nivitunza man?Weka picha
He.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?shukrani mkuu kwa kunitia moyo kwa sasa hata nikipata kibarua cha elfu 2 nafanya sina tena option nyingine
yeah hata kazi za wasio na vyeti nafanyaHe.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?
Aisee sawa kama unahisi ni uamuzi wa busara kwa sasa! Ila usije siku ukavikumbuka baada ya kutokea mchongo wa maana na vyeti ulishavichana. Kwani huwezi kuingia mtaani huku ukiwa umefungia kabatini hivyo vyeti?
kwa kujichanganya mtaani lazima mwanzo ufanye hizo za ujira mdogo then unaimproveHe.. kibarua cha nini tena arif? Bila cheti unapataje? au unataka kazi ngumu zenye ujira kidogo ambazo wanafanya wasio na vyeti? Ndo ulikuwa unatamani hivyo?
sichangamshi mtu mkuu huo muda haupoKwani wewe umemwamini kweli kuwa amechana vyeti? Huyu anafurahisha baraza tu.
Mbona nasikiaga haiwezekani kupata cheti Mara ya pili? Nasikia ni issue kweli kupata vyeti km umepoteza,Ila Sina uhakika na hikiDooh hata sasa bado it's your plan B mkuu! maana ukiamua kuvipata tena inawezekana Necta na chuo wanakuprintia tena mbona. Sijui mi naona kama ungekua hutaki kuvitumia ungevihifadhi mahali!siku utapata deal hata huko mtaani litaloweza hitaji hivyo vyeti ukasumbuka🤷♂️. Kila rakheri
Nyie ndio mnajitoaga muhanga serikali inabidi iingilie katiNi jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
serikali ipi
serikali wanajali maisha yao sio ya kwetu sisi maskini
Hasira hasara bwashee usisahau haka ka metheli 😀Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.