Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Acha utani mkuu naomba picha za vipande vya karatasi za vyeti ulivyochana kisha twende sawa
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Siku ukijiajiri ukapata tenda wakiomba CV yako uambatanishe na vyeti utakoma
 
Umeanza na vyeti usije fikia kwa shule ulizosoma na waalimu waliokufundisha.
 
pale motivation speakers kutoka jamiiforums jukwaa la siasa wanapofanikiwa kumwelewesha kijana jambo lao,hali huwa hii hapa.
 
Tatizo watu wengi mnakuwa waoga lakini mnaujua ukweli ajira hamna na ukipata bado unaishi kimaskini na unakufa maskini huku watu ambao wanapambana mtaani wakiwa na pesa ndefu sana. Ila najua mnatambua hali halisi
 
Dooh hata sasa bado it's your plan B mkuu! maana ukiamua kuvipata tena inawezekana Necta na chuo wanakuprintia tena mbona. Sijui mi naona kama ungekua hutaki kuvitumia ungevihifadhi mahali!siku utapata deal hata huko mtaani litaloweza hitaji hivo vyeti ukasumbuka[emoji2369]. Kila rakheri
Mwache na akili zake. Hajui kuwa siku hizi board member wa kampuni flaniflani Lazima awe "qualified" na vyeti.
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.

Hongera sana mkuu
 
Mkuu lazima vikupe hasira kama vimejaa "F" za kutosha.. bora tu umevichoma..
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Jina lako tu la kitumwa
 
Kuna siku utavitafuta sana, utavipata kwa gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom