Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu.
Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya Simba si kama yanavyosemwa na mashabiki kuwa Wachezaji waluosajiliwa na Simba hawana viwango vizuri Bali ni uendeshaji mbaya wa ligi na amewataka eti waahiriki wengine wa ligi waache figisu ili kuweka fair competition.
Hivi kweli uongozi wa Simba unataka wanachama na Mashabiki wa Simba watembee kifuq mbele kwamba timu ni nzuri Ila imefanyiwa figisu na Waamuzi, Bodi ya Ligi au TFF Kwa ushawishi wa timu Fulani?
Huku ni kukwepa wajibu na kutafuta Mbuzi wa kafara ili kumwangushia jumba bovu.
Nimshukuru mgeni rasmi hajamung'unya maneno, kasema Wazi 'Wanasimba wamekaairika na bado Wana hasira na matokeo mabovu ya timu, Bodi ihakikishe mashabiki wanapata furaha.
Bodi acheni janja janja.