Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Gadafi alikuwa mroho wa madaraka.
Ukiwa mroho wa madaraka ujue kuna siku utakuja uighalimu nchi yako
 
Kwa walivyokuwa wanaishi (kama peponi) sidhani kama kuna mtu alikuwa na muda wa kufuatilia siasa n.b ni siasa uchwara za marekani ndo zilizompindua kiongozi wao kipenzi muamar gadaffi ,kiongozi pekee mwenye akili afrika
 
facts.
 
Mngepaza hzi sauti nakwayule BIBI wa UK mungekua munaeleweka sana ila mmekalia UNAFIQ tu[emoji12][emoji14][emoji12]
kuna utofauti mkubwa sana wa yule bibi na viongozi wetu, mfumo mzima wa uendeshaji wa serikal ni tofauti
 
Uzuri nikwamba kufa kutabakia kua kufa tu hatakama utafanya nini.....
Sawa hata km tutakufa ila sio kifo cha kizembe na cha kihuni vile, ilibidi Gadafi arizike na alichokionhoza awape na wengine waongoze ili alichokitafuta kiendelee kudumu na uhai wake uendelee kuwepo japo kifo kingemkuta mbeleni
 
kuna utofauti mkubwa sana wa yule bibi na viongozi wetu, mfumo mzima wa uendeshaji wa serikal ni tofauti
Sijaongelea mfumo wala uendeshaji naongelea upatikanaji tu hapa ambao ndio main point

Tofauti yao nini ?!
 
Sawa hata km tutakufa ila sio kifo cha kizembe na cha kihuni vile, ilibidi Gadafi arizike na alichokionhoza awape na wengine waongoze ili alichokitafuta kiendelee kudumu na uhai wake uendelee kuwepo japo kifo kingemkuta mbeleni
Kifo cha kishujaa utakua unatembea baada ya kifo...
 
Kwa hiyo upande huu waliouchagua ni bora kuliko ule..!?
Siungi mtu kukaa madarakani muda mrefu hivyo..ila Hali ya sasa na ya mwanzo bora ipi.!?
Nijuavyo mimi, kuna ubaya wenye afadhari.
 
Tatizo ya kizazi cha sasa ni kimejaa ulimbukeni wa kuiga hata yasiyowahusu.......Wanabeza mfumo wa utawala uliowapa mafanikio makubwa kimaendeleo ya kijamii, badala yake wanataka kuiga mifumo ya utawala wa kimagharibi wakidhani kuwa ndiyo bora kwao....

Kila jamii ina mfumo wake wa utawala na demokrasia unaoendana na utamaduni na mila zao. Nchi zinazokengeuka kwa kujitakia ama kwa kulaghaiwa na mabeberu wanaotumia vibaraka waliopo katika nchi husika, huishia pabaya kama ilivyo hivi sasa Libya na Iraq!

Ndio maana kwa Tanzania tunasema John Pombe Magufuli anatosha....Anayefanya utalii wa kujitakia ughaibuni na aendelee kutalii, na wanaotumika kutaka kutuhujuma wanafahamika na kura zetu watazisikia tu kwenye bomba kuwa zilipigwa dhidi yao.
 
shida inakuja Gadafi ndie pekee alie weza kuwamudu mabeberu ingawa nao walimzidi kwa propaganda walizo pewa wananchi wananchi nao wakaingia mkenge
 
Kwa hiyo upande huu waliouchagua ni bora kuliko ule..!?
Siungi mtu kukaa madarakani muda mrefu hivyo..ila Hali ya sasa na ya mwanzo bora ipi.!?
Nijuavyo mimi, kuna ubaya wenye afadhari.
Kaka watu wakishavurugana swala la hali ni majaliwa . Tujiwekee utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka.
 
tuseme tu gadafi hakuwaza upande wa pili wa propaganda za wazungu na gadafi kilicho mfanya asikabidhi aliangalia hata kwa africa hakuna mtu mwenye uwezo wa kukemea uozo wa wazungu zaidi yake na Mugabe akaona atashinda tu hiyo vita kama ka survive miak 42
 
Wewe hata kukujibu ni shida. Ungejua wa Africa walivyoanza kabla usingesema. Utakataaje kuiga vya wazungu ikiwa hata mfumo wa serikali na uongozi mmeiga kutoka kwao ?!
 
umeanza vizur umekuja boronga mwishon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…