FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
FT: Barca 5-0 Celta Vigo, Messi10 (bao 2 na assist 1). Na alitoka dk ya 58 akaingia mwanafunzi wake mpya Dembele a.k.a Mosquito.Ndo tatizo lenu mashabiki wa Messi..
Tushawabutua sana Camp Nou
vikombe ndo usiseme.... lakini badoo
Sio habariMbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
hizo timu za epl sio level yake.mchezaji wa dunia anacheza barca sio spurs,arsenal wala chelseaUtajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Unabishana na mtu aliyebaki na akili za kuoshea sahani tu.hizo timu za epl sio level yake.mchezaji wa dunia anacheza barca sio spurs,arsenal wala chelsea
Washabiki wa Man U wa ajabu sana,Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Weka na clip ya Ronaldo tuwalinganisheTangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.
[emoji116] [emoji116]
Kahaba wa sokaBujibuji ndio kahaba gani uyo tumuijie na masela tupige mtungo?
CR7 for realMbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Kumbe unamapenzi na CR, na unataka messi ashinde euro wakati yeye muamerica?Kawao
Kawapiku kwa lipi babu mbona unapiga kelele tu na mahaba niue yako. Cr mfalme hajabakiza kitu chini ya jua sio EPL LA liga uefa uero na uchafu wote ambao mess itabaki simulizi kwake na kwenu
Wewe ni mbishi tu na bila shaka ukweli unajua na ukweli wenyewe ni kuwa Messi ni bora kuliko wote lkn kwasababu umeamua kubisaha tuilifikiri umeleta EPL aliyobeba mess kumbe unazungumzia chance
Mkuu walisema akienda EPL hata fanya kitu sasa anakimbiza mbayaKwni Laliga alikuwa hakimbizi mkuu?
Kwani kucheza team nyingi ndio kipimo?
Itakuwa unaota uku uko uchi brother barca huwa inaitandika Madrid kama vile inaitandika levanteNdo tatizo lenu mashabiki wa Messi..
Tushawabutua sana Camp Nou
vikombe ndo usiseme.... lakini badoo
Mnunue weweOf course, kuadapt na kucope mifumo tofauti ya timu na ligi kunafanya uprove una uwezo.
Punguza wehu mkuuHizo chenga hata wakina isco wanapiga haifanyi mtu kuwa mchezaji Bora.
Washabiki wa man wengi hawana ubongoWashabiki wa Man U wa ajabu sana,
kuna wakati walikuwa wanasema Pep sio kocha bora
sababu ligi alizopita ni dhaifu sana
sasa amekuja pale pale England chamoto wanakiona.
Unataka anayojipiga chenga mwenyewe au anayo vizia?Weka na clip ya Ronaldo tuwalinganishe
Bila sha unaongea huku umeingiziwa Dildo!
!
Messi ni mchezaji bora katika timu ya Barcelona kwenye league ya Spain tu. Nje na hapo hata Chirwa ni bora kuliko Messi.