johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa jinsi alivyo chawa hawezi kufanya lolote la maana.Hongera sana kwake.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
HayaaaKwa jinsi alivyo chawa hawezi kufanya lolote la maana.
Nondo bado zinamuhusu, huyu wa kwetu mwenyewe bakora zake ziko palepale
Jina lake mbona sijaliona au ana majina mawili?Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF ππ
Mkuu acha masihara, hebu fafanua kidogo.Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF ππ
Huyu ni mgonjwa Toka miaka mingi ni ngumu Sana kupata uteuziVipi kwa Tlaatlaah ??ππ
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo, right?πMweleka
SarcasmMvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF ππ