Hatimaye Lucas amefikiwa kwenye Uteuzi kongole kwake

Hatimaye Lucas amefikiwa kwenye Uteuzi kongole kwake

Luca
Screenshot_20250310-114358~2.jpg
 
Gentleman kuna mtu huku kasema wewe ni Yule Mzee wa Iramba, mb

Haha
mim ni kiongozi mchapakazi wa wanainchi, mtafiti na muhadhiri mwandamizi, mshauri na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, mkulima, mfugaji, mfanyibiashara, apostle... na hayo ni kwa uchache tu,
usikubali kupotoshwa,

I'm always in corridorz of placements automatically 🐒
 
Unajua maana ya kustaafu kwa hiyari at 55? 😂😂😂
Kustaafishwa na mwajiri baada ya 55 au kuacha/kuachishwa kazi ndiyo naamini unazungumzia na si kustaafu kwa hiari. Wangapi walistaafu kwa hiari na wakapata teuzi?
 
Back
Top Bottom