Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Achana na huyu mzee mzushi tu. Mimi naendelea na kilimo changu tu.Hongera Bw. Lucas nadhani utaacha kuwasifia wenzio.
Achana na huyu mzee mzushi tu. Mimi naendelea na kilimo changu tu.Hongera Bw. Lucas nadhani utaacha kuwasifia wenzio.
😄😄😄Kwa jinsi alivyo chawa hawezi kufanya lolote la maana.
Nondo bado zinamuhusu, huyu wa kwetu mwenyewe bakora zake ziko palepale
View attachment 3381087
Nilishastaafu utumishi wa umma kitambo sana nikiwa 55
Mtoto wa kiume weweMvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Hata sijaelewa nini unasema!? Do you think u gat what u said?We kalia fitina tu
Chawa wawezeshwe na wapewe hati maalum za utambulisho, ikiwezekana wapewe ulinzi wa kutosha.Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Lucas ni mwenyekuvaa bendera au?Wakwanza kushoto Jabali la Siasa nchini Lucas Mwashambwa aliemuondosha Kaka ake I'll alambe teuzi.
Okomanyoko.
View attachment 3381155
Mimi nina shaka Lucas =JohntebaptistMvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Eti wewe umefuzu na milembe wamekupa cheti?pwagu na pwaguzi mnapeana moyo, right?🐒
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo, right?🐒
Wewe agiza mihogo Chai umepewa.Kuna ule Uzi wa uteuzi comment zake zinaonyesha dhairi shairi kakata tamaa.Jina lake mbona sijaliona au ana majina mawili?
mim ni kiongozi mchapakazi wa wanainchi, mtafiti na muhadhiri mwandamizi, mshauri na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, mkulima, mfugaji, mfanyibiashara, apostle... na hayo ni kwa uchache tu,
usikubali kupotoshwa,
I'm always in corridorz of placements automatically 🐒
Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha.Hongera Bw. Lucas nadhani utaacha kuwasifia wenzio.
Viumbe wasio na kichwa,mimi nasema viumbe wasio na ubongo a.k.a ccm?Watanzania ni kama viumbe wasio na vichwa.
Subiria hapahapo....Sijaelewa
Gentlemen mambo magumu😂😂Huyo asubiri teuzi za Hamas.
ana pikipiki inatosha kabisaHuyu ataachiwa mikoba na Lucas iwapo taarifa hii ni ya kweli.
Basi endelea kupambana ipo siku utakumbukwa kuteuliwa kuwa walau DAS mkuu. Kazi yako kubwa tunaiona hapa JF.Achana na huyo mzushi. Mimi sijateuliwa