Unapostaafu kwa hiyari unakuwa na sababu za msingi vinginevyo utasubiri hadi 60 na utaomba tena mkataba 😂Kustaafishwa na mwajiri baada ya 55 au kuacha/kuachishwa kazi ndiyo naamini unazungumzia na si kustaafu kwa hiari. Wangapi walistaafu kwa hiari na wakapata teuzi?
Swa tilalatilaaacalm down dishi lililokaa sawa gentleman 🐒
Hongera kwake Lucas Mwashambwa kwa kulamba uteuzi. Bila shaka uteuzi umetokana na uchapakazi wake uliotukuka hapa JF. Mungu amtangulie ktk majukumu yake mapya.Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Achana na huyo mzushi. Mimi sijateuliwaHongera kwake Lucas Mwashambwa kwa kulamba uteuzi. Bila shaka uteuzi umetokana na uchapakazi wake uliotukuka hapa JF. Mungu amtangulie ktk majukumu yake mapya.
"Mungu akutangulie katika majukumu yako mapya" 😂😂😂😂😂Achana na huyo mzushi. Mimi sijateuliwa
Mimi naendelea na majukumu yangu ya kilimo"Mungu akutangulie katika majukumu yako mapya" 😂😂😂😂😂
🙏😁"Mungu akutangulie katika majukumu yako mapya" 😂😂😂😂😂
P unaitwa huku wamasema umesahaulika Mkekani.Ficheni Pascal Mayalla asione hii ,anaweza jinyonga
We kalia fitina tuSijaelewa
Kongole, ila asijisahau akashabikia utekaji/mauaji, maana kuna siku atafikiwaHatimaye Lucas amefikiwa kwenye Uteuzi kongole kwake
Watanzania ni kama viumbe wasio na vichwa.Nimeona huko buchosa Eric shigongo akiwauliza wananchi wake niliwaahidi tisheti za ccm nimeleta, ama sijaleta 🤔 nimehuzunika sana cc secretarybird