chiembe, choicevariable??Vipi kwa Tlaatlaah ??ππ
una mcheka siyo?Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa
Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri
Mungu wa mbinguni Ibariki JF ππ
calm down dishi lililokaa sawa gentleman πThe way you reply unaonekana kabisa dish limeyumba
AnamkejeliJina lake mbona sijaliona au ana majina mawili?
Mr Kiduku (Kim jong Un) ni ngumu sana kuteuliwa.Hivi Paskali Mayala a.k.a bwana manjaa hajawahi fikiwa?
Hajapata teuzi mleta mada anawa-enjoy tulucas kapata wapi?
Unajua maana ya kustaafu kwa hiyari at 55? πππUnajua maana ya uteuzi
malofa waropokaji mnapotoshana kindezi sio, right?π
mim ni kiongozi mchapakazi wa wanainchi, mtafiti na muhadhiri mwandamizi, mshauri na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, mkulima, mfugaji, mfanyibiashara, apostle... na hayo ni kwa uchache tu,Gentleman kuna mtu huku kasema wewe ni Yule Mzee wa Iramba, mb
Haha
Lipo, tena lipo saana tu.Jina lake mbona sijaliona au ana majina mawili?
Kustaafishwa na mwajiri baada ya 55 au kuacha/kuachishwa kazi ndiyo naamini unazungumzia na si kustaafu kwa hiari. Wangapi walistaafu kwa hiari na wakapata teuzi?Unajua maana ya kustaafu kwa hiyari at 55? πππ
Balozi wa nyumba kumiamepata cheo gani?
amepata cheo gani?
Na kisha kuanza kukimbia..Atabubujikwa machozi....
Hiyo huenda ni ID ya MwinguluVipi kwa Tlaatlaah ??ππ