Hatimaye Lucas amefikiwa kwenye Uteuzi kongole kwake

Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa

Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri

Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Chawa wawezeshwe na wapewe hati maalum za utambulisho, ikiwezekana wapewe ulinzi wa kutosha.
 
Mvumilivu hula mbivu Hatimaye Lucas Mwashambwa sasa ni mheshimiwa

Mimi na Mzee Mgaya tunamtakia kila la kheri

Mungu wa mbinguni Ibariki JF 😁🙏
Mimi nina shaka Lucas =Johntebaptist
 


apostle ? No way hapa hapana

😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…