Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

Ukraine ndo nchi yenye mifumo mingi tofauti tofauti, kando na nchi za West.

Kiufupi hadi vita kuisha Ukraine atakuwa mteja wa USA na NATO
 
Kwenye vita inayoitaji idadi kubwa ya wanajeshi pengine kwake likawa tatizo, lakini sasa hatujui ana nini hasa gharani kwake.

Am sure vita ikikaribia mipaka ya Russia tutaona mambo ya ajabu, US anajua nadhani.
Hakuna jipya tena kwa Putin mkuu
 
jaman hayo sio mapazia kuwa yatazuia kila kitu ila yatapunguza uzito wa mashambuliz mfano kweny makombora 1000 yanaeza ingia 100 , kwahiyo sehem yenye airdefence lzm ujipange kupashambulia
Mapazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kuanzia sasa, mji wa Kiev hatupigwa tena na makombora...?
Sidhani kama wapo secured 100%, nafikiri ni kama unapojenga ukuta ndani kwako ukaweka na chupa juu, sio kwamba unawazuia wezi kabisa ila kuna kazi ya ziada watapata kuingia na pengine wakashindwa kutimiza malengo.
 
Wana ardhi kubwa sana, hii tamaa ya crimea na ukraine sijui ni ya nini yaani
 
Sasa hivi yupo Ukraine,kataifa kanato anzisha wewe ataenda.TUENDELEE KUSHABIKIA KABLA YA KAMIKAZE PALIKUWEPO HIMARS.

Sijajua nini unajaribu kuandika, ila Urusi siku zote huwa makini, hajawahi kujisahau akashambulia hata kijiji kimoja ndani ya NATO.
 
Sijajua nini unajaribu kuandika, ila Urusi siku zote huwa makini, hajawahi kujisahau akashambulia hata kijiji kimoja ndani ya NATO.
Yupo Ukraine now kwani nato wamewahi kushambulia URUSI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…