Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

Kwenye vita inayoitaji idadi kubwa ya wanajeshi pengine kwake likawa tatizo, lakini sasa hatujui ana nini hasa gharani kwake.

Am sure vita ikikaribia mipaka ya Russia tutaona mambo ya ajabu, US anajua nadhani.

Mkuu, USA hasa Biden na washauri wake wa kijeshi wanalijua sana hilo, kwamba Urusi ikihamua kufanya kweli ni moto wa kuotea mbali si mchezo, ndio maana Biden juzi hapa aliwatuma washauri wake kwa siri kwenda kumsihi Putin waanze mazungumzo ya kumaliza mgogoro/vita ya huko Ukraine - watu wenye kuona mbali wanajua kwa nini Serikali/jeshi la Merikani limeanza kumshtukia Putin na kuona kuna umuhimu wa kipekee kuanza kuelewana na Putin now not later, cha ajabu wanajitokeza mavuvuzela wanatuletea Mickey Mouse Stories - hawazungumzii chochote kuhusu juhudi zinazo fanyika kichini chini kumaliza mgogoro huu wa Ukraine - bottom line is: Hakuna Taifa au shirikisho lolote la kijeshi linaweza kuishinda Urusi kivita - take it or leave it, Up2U.
 
Sasa hivi yupo Ukraine,kataifa kanato anzisha wewe ataenda.TUENDELEE KUSHABIKIA KABLA YA KAMIKAZE PALIKUWEPO HIMARS.

Kila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
 
Russia wanajeshi wake wengi wamekufa na wengine ni majeruhi ndio maana walifanya usajili wa watu hata wasio na ujuzi wa kijeshi kupelekwa vitani.

Majuzi tu hao waliopelekwa vitani tayari waliishauliwa kwa wingi na ndipo wengine walipoanza kukimbia ndipo dikteta Putin akapeleka vikosi vya kuwaua wale wanaokimbia vita. Hali ni tete sana ndio maana Russia wamerudi kwenye kurusha makombora ya masafa marefu.
 
Wewe naona baada ya kutoka masjid umeamua ujilipue kabisa ukapambane na wale 72 virgins.
 

Je,wewe una taarifa zipi zinazo sema Zelensky anapeleka professional soldiers kwenye front line na sio ma-conscripts na wazee - tafuta taarifa za front line war correspondents usikie wana sema nini na sio habari hizi za kutunga kutoka BBC,SkyNews, and UK tabloid papers namely: The SUN and tha Mirror ni mahodari sana wa kubuni mambo ambayo hayapo kabisa mradi wamseme vibaya Putin na kujaribu kumdhalilisha kimataifa hilo ndilo lengo lao kuu - binafsi sioni kama crusade zao zimewasaidia chochote kwenye war efforts zao za kujaribu kulishinda jeshi la Urusi - badala yake wanazidi kupigwa na kudhalilishwa licha ya kuunguza matrillion ya fedha na matami na matani ya silaha nchini Ukraine ili kujaribu kumsaidia Zelensky - hakuna cha maana walicho achieve so far!!
 
Mkuu mimi ni mrusi wa kariakoo.Nilikuwa namshauri aende yeye kwenye kataifa ka NATO.
 
Mkuu mimi ni mrusi wa kariakoo.Nilikuwa namshauri aende yeye kwenye kataifa ka NATO.

Ukraine mbali mkuu, naona umushauri aende hapa karibu Somalia akapigane na Al Shaabab na sio jeshi lao la Kenya badala ya kupambana na Al Shaabab nchini Somalia badala yake Majenerali wake na other ranks wanajihusisha zaidi katika harakati za kuiba mkaa na samaki kutoka Somalia na kwenda kuuza huko Arabuni, wanamgambo wa Al Shaabab wanawapa wakati mgumu jeshi la Kenya mpaka wanakimbilia kuomba msaada ya Drones za jeshi la Merikani ili ziwasaidie kupambana na Al Shaabab.

Leo hii jamaa huyu bila aibu anawakadia Warusi hasa hasa Putin kwa kumbatiza majina ya kila sampuli na kashifa juu, kasahau kabisa kwamba once upon a time na actually mpaka sasa Taifa lake lilivamia Somalia na kuuwa raia wasio na hatia na kujaribu kuingilia mambo ya ndani ya Taifa la Somalia ikiwemo kujaribu kuwachangulia viongozi, Somalia haikuwahi kuomba msaada wowote kutoka kwa Serikali au jeshi la Kenya, walikwenda huko kama wavamizi tu, halafu leo hii MK254 hayo yote kaya sahua kabisa, badala yake yuko very vocal akimshutumu Putin na Urusi 24X7, umwambii kitu akakuelewa, binafsi huwa mara zote najiuliza: hivi Jeshi la Zelensky na NATO/US wakishindwa vita na jeshi la Urusi huko Ukraine (na kushindwa watashindwa kweli) hilo likitokea sina shaka MK254 na wenzake watakumbwa na ugonjwa wa moyo kwa masikitiko - yetu macho na siku hiyo inakujaaa.
 
Umesahau na hiiii[emoji38][emoji116]
 
Duh! Madeni zaidi kwa Wa Ukraine. Wamarekani wanachochea tu vita ili vikiisha wapeleke invoice.

Vv
 
Wewe naona baada ya kutoka masjid umeamua ujilipue kabisa ukapambane na wale 72 virgins.

Hili ndilo tatizo kubwa tulilo nalo baadhi ya sisi Watanzania, tukikosa hoja au maoni mbadala tunakimbilia kukashifu watu, mfano: haya ya kusema, eti: nimetoka Masjid, hiyo ina uhusiano gani na yanayo jadiriwa hapa??

Kwa taarifa yako mimi ni mkristo wa madhehebu ya Kilutheri, hizi tabia za baadhi yenu kupachika watu Dini ambazo haziwahusu hasa mnapo tofautiana kwenye misimamo/maoni, hizi ni tabia zinazo fanywa na watu ambao hawaja staarabika hata kidogo,leteni maoni mbadala without offending anyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…