Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

Inawezekana kweli

Ila usimchukulie poa Nas

Nas siku kaacha kuishi maisha ya new York rappers Yale kuimba ,mitungi,unga, sex Lucas bling bling I micheni ya kilograms moja .

Nas siku Ni investor mkubwa Sana kwenye venture na startup nyingi tu na ana make mkwanja Safi kabisa

Ndio maana nowday Yuko karibu Sana na akina Diddy ,Jay z Jamaa Yuko serious .

So Nas Ni mtu poa kabisa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Wote mistari ipo konki uzito umeenda sawa. Nyimbo nimeisikiliza kuna baadhi ya mistari

Nas anasema "Only Kings can stand near me....am fromt he ghetto,location 2 sec from the devil"

Naye Jay ' Z anasema " .. Intermittin' fasting, but these mil's, I'm not missin' lunch.."
 
Nas ni muwekezaji mkubwa sana wa awali kwenye Cryptocurrency wakati inaanza na kwenye hiyo nyimbo ameongea.

Lkn kwa Hov uwekezaji wake ni mkubwa licha kuuza Tidal kwa Jack Dorsey mmiliki wa Twitter.

Nayo humo ndani kaongea
 
Nas ni muwekezaji mkubwa sana wa awali kwenye Cryptocurrency wakati inaanza na kwenye hiyo nyimbo ameongea.

Lkn kwa Hov uwekezaji wake ni mkubwa licha kuuza Tidal kwa Jack Dorsey mmiliki wa Twitter.

Nayo humo ndani kaongea
That's why napenda aina hii ya Rap ya kina Jay Z..sometimes ni inspirational..sio wengine kusifia mademu na drugs tu.
 
Nina uhakika wewe HipHop umeanza kusikiliza miaka ya 2000's, hata Nas a.k.a Hugambino hujamsikiliza vizuri. Ungekuwa umemsikiliza vizuri usingeleta huu utovu wa nidhamu. Haya wakubwa tumekusamehe....
 
Mazee binafsi nawakubali Jay na Nas kwa sanaa tu, maana wote ni legends. Ila mtu anayemchukulia Nas poa naamini hajamsikiliza vizuri, maana hata Jay mwenyewe anakiri kwamba Nas a.k.a Hugambino ni moto wa kuotea mbali. Binafsi alichokifanya mdao hapo juu huwa naita utovu wa nidhamu....
 
Mbona walaliza tofauti zao kotambo sana
 
That's why napenda aina hii ya Rap ya kina Jay Z..sometimes ni inspirational..sio wengine kusifia mademu na drugs tu.
Au tuseme ni pesa huleta hekima mkuu? Maana ukiangalia hizo bar za hiyo nyimbo zina maana sana binafsi imeleta maana ya hip hop na ukongwe mkuu Darmian.

Wanzetu drugs wanaiongelea kama ilikuwa tu kama njia ya kutafuta kusikia malengo



Came from the pitchin (Came from the pitchin)', ’caine in the kitchen
Dangerous missions, wastin' your time if you want my forgiveness (Forgiveness)
 
Jay Z kamficha Sana Nas ila Hata We Going Crazy Kuna Utundu H.E.R Kaufanya cyo Wa Kawaida.. in short all album Ipo On Point
 
Nimesikiliza hii ngoma leo masaa kadhaa baada ya kuwa hewani.... kwa mimi kama old skul namfahamu Nas vzr, Jay z na Dj Khaled vzr Nina karibu albums zao zote in mixed tape. Kwa kweli sorry not Sorry ni new skul yenye flavour zote za 90s. Sauti ambazo tulizisikia 90s zimesikika 2021 katika flavour zileee tulizoea kuzisikia. Very nice song...ni hiphop yenye full taste ya R&B wale wakali wa zamani can swing it hadi ukashangaa ina full of filling to swing!
 
.......
 
Khaleed kampa beat Jay, sasa sijui mlitegemea nini. Siku hizi ni Dreadlocks, jamaa anajuaga kuwatendea haki maprodyuza. Hizi ndio Hiphop, sio zile trap sijui nini, mi naonaga matakataka tu
Yani ni kama Jay alijua game lote, kamficha Nas vibaya sana khaaa, but bado sijaridhika- promo kubwa ila nilichokiona bado sjakipenda. Naomba wafanye kingine na zaidi ya hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…