Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed


Naweza kupata link ya album husika mkuu...?

Natanguliza shukran kwako.

Thanks...!
 
full album inapatikana kwenye app maalum zinazohusika na biashara ya kuuza music content mitandaoni. ingia Spotify utaikuta mkuu.

au unataka link ya kudownload bure malipo?. ingia youtube.

Ooooh Owkay nimekupata kiongozi unamaanisha YouTube ipo mkuu...?
 
Nas ana jealous for what? Hizi beef za hip hop, ni biashara tu. Sasa tatizo ni mismanagement ya hizi beef huzaa matatizo kama violence.

By the way, musically jigga na nas ni watu wawili tofauti kifalsafa. Nas ni political emcee, and jigga isn't! So ni ngumu watu hawa kufanana.
 
Ask Kendrick
 
DJ Khaled ni wale wanafunzi chuoni hawafanyi Group Assignments ila wao huomba kuwekwa JINA tu![emoji16][emoji16][emoji16]

Au wale hata hawahusiki kuandaa PRESENTATION, just put their NAMES on the list.[emoji2957]

ANOTHER ONE [emoji1487][emoji276]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
DJ Khaled ni wale wanafunzi chuoni hawafanyi Group Assignments ila wao huomba kuwekwa JINA tu![emoji16][emoji16][emoji16]

Au wale hata hawahusiki kuandaa PRESENTATION, just put their NAMES on the list.[emoji2957]

ANOTHER ONE [emoji1487][emoji276]
Exactly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa β€œIn conclusion we can say that...”
 
Dj khaled anawatumia mastaa wakubwa kuuza album yake anajua akisimama yeye kama yeye hawezi kusonga mbele hana soko kabisaaa
 
Mzee wa chombeza kwenye nyimbo zake na anauza balaa......jamaa wa ajabu sana kwenye muziki
Unammwagia sifa tu sema huyo dj mwarabu anadandia watu maarufu ili apenye ukitaka kujua je dj khaled ni maarufu mwambie asimame yeye kama yeye uone kama atatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…