Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

Hivi ninawezaje kusikia kingeli cha hawa watu bila kusoma lyrics asee....😀😀
 
Stephen Chelu:

Ni kuwa na usikivu lkn pia binafsi kusoma vitabu pia kunanipa misamiati mipya achilia mbali nakusoma lyrics zao.

Ukiwa na nia utajua tu,kitu ukikipenda hakikupi shida hata. 😀
Mimi naelewa vizuri wakiwa wanaongea, hata zile nyimbo za kuimba nazipatapata fresh....ila hawa wa kufokafoka kuelewa natumia nguvu sana iasee...yaani bila lyrics sitoboi😂😂😂
 
Executive produced by Asahd, Aalam, Khaled & ALLAH![emoji16]

Allah being in the studio is another reason why this is the best Album.

Another One![emoji276]
Kwamba Allah ni Mungu na katika mpangilio wako umemuweka wa mwisho, acha kumuhusisha Mungu wa waislamu na manbo ya hovyo. Huyo Mungu anayebariki huu upuuzi ndio anaitwa Allah?
 
Nina uhakika wewe HipHop umeanza kusikiliza miaka ya 2000's, hata Nas a.k.a Hugambino hujamsikiliza vizuri. Ungekuwa umemsikiliza vizuri usingeleta huu utovu wa nidhamu. Haya wakubwa tumekusamehe....
Huyo dogo hamjui Nas Escobar vizuri tumemsamehe tu .

Huyo Jay Z wake aliwahi omba yaishe baada ya kuwa "ethered" na Bwana nassir Orudala Jones

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…