Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

Sasa wapi wamesema Mariupol vita inaendelea zaidi ya kusema baadhi ya sehemu za donesk na luhansk
 
Mungu ibariki Russia
 
Mariupol haujachukuliwa raisi Zelensnkyy kaongea mbele ya TV walichofanya wamezingira kiwanda cha chuma ambacho hadi sasa Askari wa Ukraine wapo na wanaendelea kupigana na Jeshi la Russia

Sehemu zingine za mariupol vita inaendelea
Ha ha ha ha huu si ushabiki utakuwa mgonjwa
 
Mariupol haujachukuliwa raisi Zelensnkyy kaongea mbele ya TV walichofanya wamezingira kiwanda cha chuma ambacho hadi sasa Askari wa Ukraine wapo na wanaendelea kupigana na Jeshi la Russia

Sehemu zingine za mariupol vita inaendelea
Hahahaha vitendo vinazungumza....maneno yako kuwa Mariipol haijachukuliwa hayana maana yoyote ile ikiwa mji umechukuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…