t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Ukipiga mahesabu ya kodi za Tra ni bora kuagiza Hayo magari kuu kuu kuliko mpyaInakuaje hizo gari za zamani zinaagizwa kwa wingi wakati bongo tunakatazwa kuingiza gari za miaka zaidi ya 8?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipiga mahesabu ya kodi za Tra ni bora kuagiza Hayo magari kuu kuu kuliko mpyaInakuaje hizo gari za zamani zinaagizwa kwa wingi wakati bongo tunakatazwa kuingiza gari za miaka zaidi ya 8?
Hawazuii ata gari la. Miaka 20 we likete tu. Ila kuna kodi flani ya uchakavu utalipia.Inakuaje hizo gari za zamani zinaagizwa kwa wingi wakati bongo tunakatazwa kuingiza gari za miaka zaidi ya 8?
SureHawazuii ata gari la. Miaka 20 we likete tu. Ila kuna kodi flani ya uchakavu utalipia.
Magari ya 2017 kuja juu ni gharama sana na iyo kodi ndio utasamehewa tatizo bei ya ayo magari.
Shukrani kwa kunieleweshaHawazuii ata gari la. Miaka 20 we likete tu. Ila kuna kodi flani ya uchakavu utalipia.
Magari ya 2017 kuja juu ni gharama sana na iyo kodi ndio utasamehewa tatizo bei ya ayo magari.
Macho yako yana makengeza siyo bureShida ya Mazda CX-5 ni kaumbo kake kama cha Dualis harafu mil 30-40
Inapendwa na mademu😂Hiyo gari ya Mazda CX-5 ina kitu gani special kiasi cha kupanda chat ya kununuliwa kwa wingi kwa hivi sasa hapa Tanzania?
ni crossover SUV mkuu 😂 japo imekaa ki hatchback to my senses!Hio CX-5 nayo ni SUV?
Sahizi Dualis namba E kuuziwa 12M ni kitu cha kawaida, zimeumbwa kwa moto kama jini 😂😂😂 wakati IST zimeumbwa kwa udongo.Walikuja vizuri sana Dualis. Sahivi kuiona namba E ni nadra sana. Watu walitegemea kwa Ile kasi angemfunika IST.
Kwanza Dualis zilipanda bei kwa haraka sana mwanzoni hata 14m ulikuwa unapata ghafla zikafika 22 watu wakaona hamna value for moneyWalikuja vizuri sana Dualis. Sahivi kuiona namba E ni nadra sana. Watu walitegemea kwa Ile kasi angemfunika IST.
Mkuu nataka nitoke kwenye crown niingie kwa bmw X1 ya 2011 cc 3000 nipe ushauri kabla sija jilipuaSahizi Dualis namba E kuuziwa 12M ni kitu cha kawaida, zimeumbwa kwa moto kama jini 😂😂😂 wakati IST zimeumbwa kwa udongo.
Na kama ni diesel kwa ukubwa wa hiyo injini yake itakuwa ina consumption nzuri sana ya weseTrend 📈 tu imeitembelea. Kama ambavyo Vanguard ilitembelewa, Dualis, etc. Ila ni SUV nzuri kwa kuiangalia.
Upo uelekeo sahihi, hio engine ya bmw 3.0 huwa ni imara sanaMkuu nataka nitoke kwenye crown niingie kwa bmw X1 ya 2011 cc 3000 nipe ushauri kabla sija jilipua
Poa poa mkuuUpo uelekeo sahihi, hio engine ya bmw 3.0 huwa ni imara sana
Poa poa mkuu
Nime jiandaa mkuu nilitaka kujua ubora wa engine tuJiandae na kuwa makini na service tu, BMW sio TOYOTA