HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Walikuja vizuri sana Dualis. Sahivi kuiona namba E ni nadra sana. Watu walitegemea kwa Ile kasi angemfunika IST.
Kwanza Dualis zilipanda bei kwa haraka sana mwanzoni hata 14m ulikuwa unapata ghafla zikafika 22 watu wakaona hamna value for money
Pili zimekuwa na record mbaya ya kuungua pasipo na sababu za msingi
Tatu ujio wa Forester , Outlander na CX5 ambao unashabiiana bei na Dualis watu wakabadili mtazamo
 
Back
Top Bottom