HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Kila MTU anajua jinsi gari za kijerumani zilivyo na changamoto Ila bado vijana wengi wananunua Sana sikuhizi hasa wqpenda ligi barabarani..
Hapa kariakoo nawafahau vijana zaidi ya 6 wamenunua BMW X1 na sio kwamba hawajui changamoto zake Bali ni Ile fashionable
Uchumi wako ndo unaamua ujiweke wapi. Hakuna gari yenye changamoto. Mifuko yetu ndo ina changamoto.
 
Tafuta ukipata njoo ulete ushahidi hapa tunasubiria. Ila nimeshakujuza kuwa hautapata maana mimi nimepeleleza tayari kuhusu hiyo gari.

Kwahiyo 15 usawa huu labda Nissan Dualis ndio utapata.
Dualis 15m mbona kubwa sana,Analenga hata kwa 10m na imenyooka ila Cx-5 kwa 15m hupati piga ua labda iliyo juu ya Mawe.
 
Kwahiyo 15 usawa huu labda Nissan Dualis ndio utapata
 
Tafuta ukipata njoo ulete ushahidi hapa tunasubiria. Ila nimeshakujuza kuwa hautapata maana mimi nimepeleleza tayari kuhusu hiyo gari.

Kwahiyo 15 usawa huu labda Nissan Dualis ndio utapata.
Okay......nitakuja mzee......wacha nikupe hint mzee ukipata kununua gari epuka kutumia madalali mtafute mmliki personally.......mwaka Jana nmenunua ist Kwa 6M.......wakati ukiingia kwenye mitandao ya madalali bei ya ist inakwenda mpaka 13m
 
Kodi yake sio kubwa nadhani wiki mbili zijazo itakuja moja ntaona imefika kwa bei gani ya kuanzia 2014 kuja mbele...
Ila raha sana. Unakuja unatambaa nayo mwenyewe gari yako unaifurahia utamu wake kabisa. Yaani hadi ukifika nayo bongo tayari unakuwa umeshablend nayo na kuizoea.

Ni kilometers 2000+ tu kutoka huko hadi tanzania ni kama kwenda mwanza na kugeuza.
 
Back
Top Bottom