Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaUto tugari uwa ni twanyongeza uko japni kama ukinunua ma semi 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duka la vipodozi la Grace, maana sio kwa mistika kama hiyo
HahahaUto tugari uwa ni twanyongeza uko japni kama ukinunua ma semi 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanakwamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hiki ndo alichopata baada ya kutembea nusu uchi mbele ya ulimwengu.
labda anastahili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna vitu ni bora ukajihesabu huna halafu ukaweka bidii kuvitafuta, hivi unaweza kuwaambia wenzio una gari halafu ukawaonesha hili?!
SASA HIYO NI GARI AU NI BANGO LINALOTEMBEA?
people used to say "everything is alright"[emoji16]Gone are the days [emoji30]
![]()
![]()
Mkuu yaani nilikua na wazo hilo hilo cheki tyre zake basi hata wange ka pimp kakaonekana ka kijanjawangekaosha basi jamani ata matairi tu yani aka atakua anashinda garage kila cku