Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Hee...! Utaendeshea barabara gani sasa hicho kitololi Miss Tanzania!

Ama kweli..! Wamekudharau sana kukupatia hicho kidude! Pole yako.
 
yani hii screpa ataishia kulala garage c wangempa izo hela Yule mwakyembe aje atoe povu na uku
 
Basi bora hata kangekuwa brand new jamani! Kametumika mno.
 
Inaonekana gari lilitolewa 2016, jamaa wamelitumia mwaka mzima ndio wanamkabidhi leo ,baada ya gari kuchoka. Miss mwenyewe nae anaonekana kachoka kwa kusubiri zawadi, masikini.
 
Hii biashara ya umiss heri ife tu maana ni kudhalilishana kwa kwenda mbele! hahahaha walahi du!
 
Kuna vitu ni bora ukajihesabu huna halafu ukaweka bidii kuvitafuta, hivi unaweza kuwaambia wenzio una gari halafu ukawaonesha hili?!
SASA HIYO NI GARI AU NI BANGO LINALOTEMBEA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kha ilo gari sio La kuwaringishia mashost kwamba ni la ushindi

Hata bure sitaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Magari walifaidi wakina wema sepetu sio hawa wa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yaniiiiii nashanga ilo gari na wadhamini kweli mnaenda kutoa suzuki swift dah mmekosa gari nzuri kweli jamaani kweli haya mashindano ya napoteza hadhi yake. mie ningeli kata. AIBU
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.05.47-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.06.32-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.06.41-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.07.51-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.05.47-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.06.32-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.06.41-PM.png
Screen-Shot-2017-05-11-at-2.07.51-PM.png
 
Hahahah ameenda kuonyesha mapaja yake jukwaani for nothing,yaani Suzuki Swift!...ila huenda fursa kaipata labda alipokuwa anajipitisha pitisha pale jukwaani alipata wadhamini wawili watatu{mapetdeshee} wa kununua Rav4 kill time.
 
Wapuuzi sn hao. Kama ni mwanangu au dada angu namwambia akomeee huko. Wajunga sn mashindano makubwa ya kitaifa ndo mnayadhallsha kias hcho. Hyo ni gari gani ya kumpa mc tz? Mnazidiwa zawadi na wavuvi wa nyavu Ukara? You have abashed and astonished us.
 
Back
Top Bottom