Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
 
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae jamii forum miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyenuachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee

Ondoka kwa furaha tu, ume graduate kuwa mwanaume, kila la heri!
 
Back
Top Bottom