Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Ni preference tu, kwani live kuna ugumu gani hadi useme wanaotongoza mitandaoni ni madomozege? Tena kwa zama hizi unapanda daladala ukishuka umeshapata babez. Mkuu kwa sasa iwe live au online ila pussy is very cheap
Vijana hawana kazi ya kufanya hawajui faida positive za mitandao. Kumradhi bro niliandika po ,kumaanisha positive ikaja pombe nimerekebisha now🤣
 
☕️☕️☕️☕️☕️☕
Tena ya jioni dear, tutanywea kashata
Screenshot_20250423_124859_Google.jpg
 
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
Namna ulivyo andika hayo maneno hapo,, inaonekana ni kweli umedata mkuu 😎
 
Back
Top Bottom