Mkali kimbia huko ,maisha gani unakunywa huku unapiga hesabu😅Dah!😃😃
Kivip mkuumna vituko sana nyie watu. Hivi hata mna muda wa kuchunguza tunakoelekea kawa taifa! Au mnaona tuko sawa tu
Unachoogopa nini?Mimi wa kike, naogopa wanaume wa mitandaoni sana🥲🙂↕️🙂↕️
Usiseme hivo Maisha ni kokote 😂Sijui ni ushamba wangu ama nini,
Yaani Mimi huyu nioe mtu niliyekutana naye kwenye mitandao?
Mitandaoni ndipo sehemu kumejaa mafeminist, yaani anaolewa na wewe huku anatafuta maisha yake kwenye hiyo ndoa yenu
Wengi matapeli wa mapenzi unakuta kila mwanamke anamtongoza tuUnachoogopa nini?
Katakua kana pretend ledy gaga kumbe Jennifer mgendiUnachoogopa nini?
😅😅😅Katakua kana pretend ledy gaga kumbe Jennifer mgendi
Soma chini zaidi👇Wengi matapeli wa mapenzi unakuta kila mwanamke anamtongoza tu
Wa huko mtaani hawajawahi kukutapeli, kukopa papuchi bila kuilipia?Wengi matapeli wa mapenzi unakuta kila mwanamke anamtongoza tu
Bro au unasemaje?
Mimi siyo mfanyabiasharaWa huko mtaani hawajawahi kukutapeli, kukopa papuchi bila kuilipia?
Ujinga mtupu😁😁😁Soma chini zaidi👇
Sio kwel na kawadanganye wanao sinziaMimi siyo mfanyabiashara
Sawa asanteSio kwel na kawadanganye wanao sinzia
Ndio maana nakupendaSawa asante
Ubarikiwe na BWANA 🤩Ndio maana nakupenda
Nakazia amtag jamaniUsikute mke wako ndio pisi yangu ya humu. Fanya kum-tag