Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Em mwambie awataje basi tunataka kutoka..!!
Na km shem wako atafute pa kujificha venye ntamchamba 😹😹😹
😄 🤣 😂 kwanza huyo shem na binti wake mbona watabadili majina,. Hawataipata amani humu mimi nikiwepo..

Ila haka kamleta mada ni kaongo , hata mwaka haujaisha alituambia ameachana na mke wake alimfanyia sijui nini nini
Thread 'Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije' Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije
 
Watunza risiti 😹😹😹

Huyu kaamua kuchangamsha kijiwe, hakuna mke wala mume..!! Mke JF 🤣🤣
 
Ni preference tu, kwani live kuna ugumu gani hadi useme wanaotongoza mitandaoni ni madomozege? Tena kwa zama hizi unapanda daladala ukishuka umeshapata babez. Mkuu kwa sasa iwe live au online ila pussy is very cheap
Nakazia pussy is cheap everywhere huwa nashangaa inakuaje mtu anakosa pisi kabisa for years.
 
Back
Top Bottom