Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Sijui ni ushamba wangu ama nini,

Yaani Mimi huyu nioe mtu niliyekutana naye kwenye mitandao?

Mitandaoni ndipo sehemu kumejaa mafeminist, yaani anaolewa na wewe huku anatafuta maisha yake kwenye hiyo ndoa yenu
Kabisa mitandaoni kuna wanaharakati ukijipa muda mzuri utayatambua maigizo yao ,
 
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
Mke au kahaba uliyekutana naye huku JF? Humu kuna mwanamke wa kuoa mkuu humu ndani? Unawasikia tu wanavyochangia humu ndani unajua kabisa hapa hamnamo mwanamke! Hawa ni wa kupozea machungu tu unababua unaishia zako!
 
unamuonge
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako ais
unauogelea ayanda?
 
Ila watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
Hata mimi nashangaa mkuu! Sijui watu wakoje aisee, yaani humu ndani upate mke wa kuowa kabisa? Hebu tusidanganyane jamani, humu wamo wa hit and run yaani wa kupozea machungu tu? Wewe fikria uende kuoa ki mke kama ki Doctor Mama Amon hapo utakuwa umepata mke au umekaribisha matatizo? Men hebu tuweni serious aiseee!
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Mnanitisha,itakuaje Sasa nami Nishatangaza ndoa na Miss Jf..
 
Piga chini hiyo takataka haraka usije ukapoteza points kwa jamaa wa kataa ndoa!
Kuna msemo wanasema "wanawake wa JF ndio walewale wa mtaani kanisani and blah blah" hii imekaaje mkuu?? tofauti ya Wanawake wa humu na nje ya hapa Ni Nini??
 
Twa humu mkuu ni much know, utajuta! Si unaona tunavyobishana na vi Evelyn Salt humu ndani? Sasa fikria umekaweka ndani hako kelele zake itakuwaje?
 
Haha huyo uliemtaja I thought ni wife material..Mfano ukioa mwanamke Kama huyo shida gani zitakukuta??huwa Wana entertain kila mtu PM??uaminifu??unaweza kummiliki??kuna ushuuda wa mapenzi yeyote yaliyoanza JF yakawa na mwisho mzuri??
 
Si unaona mwamba hapa sasa hivi analialia? Hawa wa humu ni kunguru hawafugiki!
 
Nimegundua JF Sasa imekua more of a dating site kuliko wanavyosema home of GT..wanaume wanawinda wanawake wa kulala nao,wanawake wanawinda NDOA na mabuzi..
 
Jihadhari mwamba utapigwa! Huyo unayemsalandia alisha date na midomo kibao hapa JF.
 
Sijui ni ushamba wangu ama nini,

Yaani Mimi huyu nioe mtu niliyekutana naye kwenye mitandao?

Mitandaoni ndipo sehemu kumejaa mafeminist, yaani anaolewa na wewe huku anatafuta maisha yake kwenye hiyo ndoa yenu
Ko hao wa mtaani hawako mtandaoni? Au huyo mkewe hatumii mitandao? Lol
 
Back
Top Bottom