😂😂😂😂😂Mke wako anatongozwa na mtu wa JF na ameingia laini na wewe ulimtoa huku JF, tatizo ni wewe sio mkeo.
Unaweza ukapewa kwingineko kwangu NOAcha woga mkuu, kama uliweza kuzisasambua leo kunipa mimi tu inakuwa shida kweli?
Feminist yeyote kwangu napiga napita hivi,sasa kwanini mtu uoe janamke la hivyo, samaki wa mapambo haliwiKo hao wa mtaani hawako mtandaoni? Au huyo mkewe hatumii mitandao? Lol
Sijazungumizia Feminist mie, nimekuuliza kwani walioko huku si ndo walioko mtandaoni? Au mkeo hatumii mitandao?Feminist yeyote kwangu napiga napita hivi,sasa kwanini mtu uoe janamke la hivyo, samaki wa mapambo haliwi
Kwamba mimi nina gundu gani hadi usinipe, mbona wengine unawapa?Unaweza ukapewa kwingineko kwangu NO
Na Mimi nazungumza kuhusu kuoa mtu uliyekutana mtandaoni,unajua kapigwa na wangapi kabla yako?Ko hao wa mtaani hawako mtandaoni? Au huyo mkewe hatumii mitandao? Lol
Br mwanamke mazingira uliye mpatia ndo hayohayo ukishangaa sanaa utampoteza kwenye mazingira hayo hayoWakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu
Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu
Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
Kwenye NB hapo, aah kumbe bas sawa, hayo mengine hayanihusuNa Mimi nazungumza kuhusu kuoa mtu uliyekutana mtandaoni,unajua kapigwa na wangapi kabla yako?
Nb:my wife hatumii mitandao nina uhakika
ila ulikataa appointmentKwenye NB hapo, aah kumbe bas sawa, hayo mengine hayanihusu
Mmmh ipi? Em nikumbushe?ila ulikataa appointment
Achana nayoMmmh ipi? Em nikumbushe?
😂😂😂😂 ila nimecheka hatari,Achana nayo
Naona unajisahaulisha😂😂😂😂 ila nimecheka hatari,
Sorry bhan. Woiiiih
Mbona wee ulikataa descriptions za appointment?Naona unajisahaulisha
Hivi mnapendanaje humu Jamii Forums aisee?, anyways pole sana mkuu muda ndo tiba utakuponya niamini. Hukuzaliwa nae huyo.Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu
Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu
Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee