Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Mwanamke akishakuwa na akaunti Jamii Forums huyo simtaki kbs, tuishie kwenye ushkaji huu huu wa kiibodi😛
 
Ila watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
Sasa ni Nani aliyesema anataka kuolewa na mashoga kama wewe 🚮🚮
 
Nimekua mchafu, Tangu uniache wewe,
Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe.


Wananiita Mkangafuu silali mpaka nilewe,
Fanya urudi baby nitakufa bureeeee.

Mmmmh kosa gani lisilo sameheka baby,
Niamini nimejirekebisha baby.

Jirani BICHWA KOMWE - anavyokukumbuka baby.. rudi nyumbani mumeo ninakuita beei....

😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Shemeji umeachwa jamaniiii karibu basi nyumbanii tufarijianee, unajua kaka ako kasafiri kaenda congo 🤪🤪
 
Ila watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
😀😅😅
Hata wabibi wanaolewa. Nitakualika kwenye harusi yangu mwezi ujao. Mume ni wa humu humu JF
 
Ume mkuta mtandaoni...ukamuowa mtandaoni,mkaishi kimtandao,mmeachana mtandaoni,basi yote heri
 
Huna kosa mkuu kumambia ukweli kwani kama hataki hamna haja ya kulazimisha.
 
Back
Top Bottom