Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Mkuu mwanamke yeyote mjanja mjanja siyo pigo zangu,huwezi amini my wife hajui kitu kinaitwa jamiiforum,Usiseme hivo Maisha ni kokote 😂
Kazi kwenu mliooa wasomi🤣
Mkuu mwanamke yeyote mjanja mjanja siyo pigo zangu,huwezi amini my wife hajui kitu kinaitwa jamiiforum,Usiseme hivo Maisha ni kokote 😂
Bwana yupi?Ubarikiwe na BWANA 🤩
Hahah Jamaa anazingua ataji majina🤧🤧😃😃
Upo sahihi kabisa mkuu, kanajifanyisha tu hapaBro au unasemaje?
Mwokozi wetuBwana yupi?
Nimekuelewa mkuu....Ila Nlicholenga ni kwamba tabia ya Mtu inategemea makuzi anaweza kuwa msomi kama nandy akakusumbua au sio msomi kama Aunty Ezekiel Moto ule uleMkuu mwanamke yeyote mjanja mjanja siyo pigo zangu,huwezi amini my wife hajui kitu kinaitwa jamiiforum,
Kazi kwenu mliooa wasomi🤣
Nipe bure kama huuziMimi siyo mfanyabiashara
Nakaziaaa,. Wote watajweSi umtaje wote na huo mchepuko wake wataje.
Kwani huko unapo fanyia kazi hakuna wanawake?Ubize wa kazi ,labda wewe una mda wa kutosha kufanya vitu kama hivyo?
Si kichambo hikiðŸ¤ðŸ˜‚😂,.Katakua kana pretend ledy gaga kumbe Jennifer mgendi
Wewe siyo mpenzi wangu siwezi kukupaNipe bure kama huuzi
Anazingua mno 😀 😃 😀Hahah Jamaa anazingua ataji majina🤧🤧
She belongs to Jamii forums, so jamaa apunguze ukiritimba? Mkuu uwe na hurumaMke wako anatongozwa na mtu wa JF na ameingia laini na wewe ulimtoa huku JF, tatizo ni wewe sio mkeo.
Umewapa wangapi ambao sio wapenzi wako mkuu? We si ulisema ushajaza coaster mbili😅Wewe siyo mpenzi wangu siwezi kukupa
Nilikuwa site natengeneza bomba la maji sio powaMkali kimbia huko ,maisha gani unakunywa huku unapiga hesabu😅
Kaka njoo US utengeneze pesa kwa hyo kazi ya kutisha.Nilikuwa site natengeneza bomba la maji sio powa
Hahah😃😃🥲,. Aibu hizi loh!Eeee alete majina hapa tumchambe, usikute shem wako kazama pm anashusha mistari mahi… 😥😹😹😹