Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Haha 😄 ,. Ndo muwafundishe na wenzenu sasa sio wanalialia tu kila sikuMie mjanja kinouma , sio rahisi kabisa ,tutakula bata tu nanitalipa ila kwenye trap sio rahis toto😁😁😁
Haha 😄 ,. Ndo muwafundishe na wenzenu sasa sio wanalialia tu kila sikuMie mjanja kinouma , sio rahisi kabisa ,tutakula bata tu nanitalipa ila kwenye trap sio rahis toto😁😁😁
Na nyie mnatukataa sisi wazee na hatutoi code ,ubaya ubwela🤣Haha 😄 ,. Ndo muwafundishe na wenzenu sasa sio wanalialia tu kila siku
I'm single againUngependa tukusindikize na wimbo gani mkuu!?
Makonde jipige konde moja la kujikubali na useme acha maisha yaendelee.Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu
Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu
Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
Usiseme hivyo mbona hata mabinti tupoIla watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
😃😃Watag wote tuwachambe,.
Au Uongo Lamomy ?
Awe makini na niniPole sana mkuu siku nyingine kuwa makini
Watu wenye tabia ya kutafuta wapenzi kwenye mitandao ni madomi zege maana hawana ujasiri wa kumtongoza mwanamke wakiwa wanatazamana.Jf ina warembo mkuu tatizo lako una uashbabu ndio maana unaona vibibi hao
Mmoja mmoja lakini asilimia kubwa ni vibibi.Usiseme hivyo mbona hata mabinti tupo
Ubize wa kazi ,labda wewe una mda wa kutosha kufanya vitu kama hivyo?Watu wenye tabia ya kutafuta wapenzi kwenye mitandao ni madomi zege maana hawana ujasiri wa kumtongoza mwanamke wakiwa wanatazamana.
Ni preference tu, kwani live kuna ugumu gani hadi useme wanaotongoza mitandaoni ni madomozege? Tena kwa zama hizi unapanda daladala ukishuka umeshapata babez. Mkuu kwa sasa iwe live au online ila pussy is very cheapWatu wenye tabia ya kutafuta wapenzi kwenye mitandao ni madomi zege maana hawana ujasiri wa kumtongoza mwanamke wakiwa wanatazamana.
Hahah😀Na nyie mnatukataa sisi wazee na hatutoi code ,ubaya ubwela🤣