Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu

Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu

Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
 
Sijui ni ushamba wangu ama nini,

Yaani Mimi huyu nioe mtu niliyekutana naye kwenye mitandao?

Mitandaoni ndipo sehemu kumejaa mafeminist, yaani anaolewa na wewe huku anatafuta maisha yake kwenye hiyo ndoa yenu
 

Ondoka kwa furaha tu, ume graduate kuwa mwanaume, kila la heri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…