Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Mwanamke akishakuwa na akaunti Jamii Forums huyo simtaki kbs, tuishie kwenye ushkaji huu huu wa kiibodi๐Ÿ˜›
 
Ila watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
Sasa ni Nani aliyesema anataka kuolewa na mashoga kama wewe ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Shemeji umeachwa jamaniiii karibu basi nyumbanii tufarijianee, unajua kaka ako kasafiri kaenda congo ๐Ÿคช๐Ÿคช
 
Ila watu hamko siliasi na maisha yaani kabisa upoteze muda wako kutongoza mpaka kumuoa mwanamke kutoka jf?
Jf yenyewe iliyo jaa vibibi akina Jada, to yeye, na Demi?
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hata wabibi wanaolewa. Nitakualika kwenye harusi yangu mwezi ujao. Mume ni wa humu humu JF
 
Ume mkuta mtandaoni...ukamuowa mtandaoni,mkaishi kimtandao,mmeachana mtandaoni,basi yote heri
 
Huna kosa mkuu kumambia ukweli kwani kama hataki hamna haja ya kulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ