Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Nec wamefuata ushaur wa Sirro kuwa Nec isituingize kwenye machafuko
 
Tukubali tu kwamba tumesha kubali vigwazo vya mameberu tumesha wapa nafasi tuna chukulia simple ila mama kaharibu!!!
 
Watumishi wa umma mateso ya miaka 5 ya hakuna increments, kupanda vyeo (walimu),ongezeko la mshahara,kutolipwa malimbikizo yenu n.k iwe ni fundisho na akili zenu kuikataa ccm kwa nguvu zote.Familia zenu ziikatae ccm.

Msiwapigie kura ya urais,wabunge wala madiwani.Ndiyo wadhalilishaji wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…