Hatimaye msela Sonko akabidhiwa mji wa Nairobi

Hatimaye msela Sonko akabidhiwa mji wa Nairobi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ametoa ahadi nyingi sana ikiwemo kuhakikisha Nairobi utakua mji msafi zaidi ya Kigali, pia maji ya uhakika kwenye mabomba na mengineyo. Japo pia nampongeza kwa kujiamini maana huyu jamaa alianza maisha ya kitaa kama msela asiyekua na mbele wala nyuma, kila siku akiishi kwa msemo wa 'heri ya jana'.

Leo hii amekabidhiwa uongozi wa mji ulioendelea zaidi ya yote ukanda wote huu wa Afrika mashariki na kati, amesalia hatua moja kuipokea nchi. Tumpe ushirikiano na kumwombea ili atimize ahadi zake, akiyumba tu basi tunampa dozi kama tuliyompa aliyemtangulia bwana Kidero. Yaani Wakenya wengi wameshajua umuhimu na nguvu walizonazo kwenye kadi zao za kura.
Wamepigwa chini mibabe wa siasa pamoja na kwamba rais na Odinga waliwafanyia kampeni. Yaani rais anaambiwa kwamba kura ya urais ni yake lakini hana usemi kwenye mbunge.

soks.jpg

President Kenyatta (left) and new Nairobi Governor Mike Sonko after the latter's swearing-in at Uhuru Park on August 21, 2017. PHOTO | DENNIS ONSONGO | NATION MEDIA GROUP

Nairobi's newly elected Governor Mike Sonko was sworn in on Monday to become the city's second city county boss.

The elaborate event at Uhuru Park was attended by President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto.

WORK

Also in attendance were former Governor Evans Kidero, his deputy Jonathan Mueke and newly elected Nairobi Woman Representative Esther Passaris.

" I have never made a promise that I never kept and this day I want to give you an assurance that Nairobi will never be the same again, I shall work round the clock to deliver," Governor Sonko said in his speech.

"This auspicious event marks the end of the cartel that has held the people of Nairobi hostage for long…there shall be enough water in the city, no garbage as we have already demonstrated in the ongoing 'Operation Ng’arisha Jiji.”

Mr Sonko's deputy governor Polycarp Igathe, in his speech, promised to make Nairobi the best city.

KIDERO

Former Governor Kidero thanked the people of Nairobi while wishing Governor Sonko the best as he starts his term.

“I promised a smooth transition and I have no problem referring to Mike Sonko as my governor … Me and you pushed and tried to prove our worth to the people of Nairobi… I urge you to continue with the projects we started,” Dr Kidero said.

Mr Sonko started his stint at the helm of City Hall with controversy and flamboyance, opting to fund musicians attending his swearing-in ceremony.

SHOWBIZ

Ever a flamboyant politician and a lover of showbiz, a trait he has used to elevate himself to the highest office in the county, Mr Sonko lined up nine artistes to perform at the Uhuru Park event.

“This event is not sponsored by the Nairobi City county government, or the Ministry of Devolution. This is a personal initiative of His Excellency Mike Sonko, just like the ongoing clean-up programme by Sonko Rescue Team,” said Mr Sonko in an advert.

Those who were expected to perform are gospel artistes Bahati, Ben Githae, Loise Kim, Jemimah Thiong’o, Esther Wahome, Rufftone and Tanzanian superstar Rose Muhando.

They would be joined by celebrated boy band Sautisol and Tanzanian musician Mr Nice.

EXPENSES

The chairman of the Assumption of Office committee and also the County Secretary Dr Robert Ayisi said that the team had spent only a bit of the Sh25 million for the ceremony.

“We have hardly used much money on this. We spent very little but we can’t say how much. In fact, it is what we call miscellaneous expenses,” said Dr Ayisi.

He said that they cancelled a planned luncheon since it would have taken a huge chunk of the budget, but added that there would be refreshments for those who attended.

Dr Ayisi added that the expenses they incurred were those of painting the dais, fuelling vehicles, hiring seats, the music system, as well as security arrangements.

PARKING

Mr Sonko and his deputy Polycarp Igathe were sworn in by Justice David Majanja.

Dr Ayisi said after the event is over, former Governor Dr Evans Kidero and his deputy Jonathan Mueke would then head to City Hall to hand over to the new team.

Mr Sonko has promised, among other things, to lower taxes, slash parking the Sh300 daily fees by half, as well as a proper garbage collection programme.

Mike Sonko takes over at City Hall
 
Duh hivi Rose Muhando bado anaimba!

Yes or No
 
Vyeo vyenu Kenya vinanichanganya sana, kwahiyo Jaguar ni kama diwani huku Tanzania? Au mji mmoja unakuwa na mbunge na governor ? Nani ni boss wa mwenzake?
 
Sonko look blazing ndani ya suti aisee kumbe zile bling bling kaziacha hukoooo...all the best to him
 
Vyeo vyenu Kenya vinanichanganya sana, kwahiyo Jaguar ni kama diwani huku Tanzania? Au mji mmoja unakuwa na mbunge na governor ? Nani ni boss wa mwenzake?

Utanielewa tu,
Sonko ni kama yule wenu Paul Makonda, anasimamia mkoa wa Nairobi, tofauti ni kwamba kwetu inabidi uchaguliwe na wananchi, ila kwenu Makonda aliteuliwa na rais.
Sasa ukiangalia Dar, imegawanywa kwa maeneo bunge kama Ubungo n.k. vile vile Nairobi kuna maeneo bunge pia ambayo mojawapo imechukuliwa na mbunge mpya Jaguar.
 
Vyeo vyenu Kenya vinanichanganya sana, kwahiyo Jaguar ni kama diwani huku Tanzania? Au mji mmoja unakuwa na mbunge na governor ? Nani ni boss wa mwenzake?

Havikuchanganyi!! sema huelewi chochote maana hujasoma ,,,Kenya kuanzia mwaka ujao elimu ni ya bure chekechea hadi shule za upili njoo Kenya usome angalau utapunguza upumbavu wako,,,,,,huwezi tofautisha kati ya mbunge na diwani at your age? Jaguar ni mbunge wa eneo bunge la starehe ,sonko ni gavana wa Nairobi . Diwani huku kwetu hatuna tulikua nao hizo enzi tukawatoa kwa sasa tuko na MCAs ,,members of county assembly.
 
Sultan Joho Ali ,,,,,,,,tumemwambia arudi shuleni aka some kuanzia januari na amekubali sasa 2022 wakutane na William Ruto akiwa ni msomi wang'ang'anie urais wote bila shaka tutapata mshindi.
 
Havikuchanganyi!! sema huelewi chochote maana hujasoma ,,,Kenya kuanzia mwaka ujao elimu ni ya bure chekechea hadi shule za upili njoo Kenya usome angalau utapunguza upumbavu wako,,,,,,huwezi tofautisha kati ya mbunge na diwani at your age? Jaguar ni mbunge wa eneo bunge la starehe ,sonko ni gavana wa Nairobi . Diwani huku kwetu hatuna tulikua nao hizo enzi tukawatoa kwa sasa tuko na MCAs ,,members of county assembly.

200_d.gif
 
Vyeo vyenu Kenya vinanichanganya sana, kwahiyo Jaguar ni kama diwani huku Tanzania? Au mji mmoja unakuwa na mbunge na governor ? Nani ni boss wa mwenzake?
mbona unajiaibisha mkuu? yaani hujui tofauti kati ya mbunge na diwani? mbona hata mtoto mdogo anaelewa? sasa gavana ni kama Mayor lakini bado kuna wabunge kama Jaguar...sasa Sonko atakuwa ni bosi wa Jaguar
 
Havikuchanganyi!! sema huelewi chochote maana hujasoma ,,,Kenya kuanzia mwaka ujao elimu ni ya bure chekechea hadi shule za upili njoo Kenya usome angalau utapunguza upumbavu wako,,,,,,huwezi tofautisha kati ya mbunge na diwani at your age? Jaguar ni mbunge wa eneo bunge la starehe ,sonko ni gavana wa Nairobi . Diwani huku kwetu hatuna tulikua nao hizo enzi tukawatoa kwa sasa tuko na MCAs ,,members of county assembly.
Wewe uliyesoma mbona hujawa hata MCA/diwan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom