Hatimaye naoa

Hatimaye naoa

Wakuu naoa mm😂😂

Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke

Naongea kwa utani kwasababu mm nina masihara sana.Hadi sasa nina miaka 34
Wadogo zangu wote walishao
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa

Nimesemwa sana aisee
Wazazi walihisi sidindi daah
Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani .
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa !
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!

La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mm”…..

Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.

Naomba Mungu anilipizie maumivu yote
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli
Nikatoe kizazi bora
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana…….

Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu

Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Hongera sana Mkuu!!
Kila la heri
 
Yaani humu wanataka mtu awe mhuni mpaka kinamkuta kifo chake na wanaitazama ndoa kama ni Jehanam hali ya kuwa si kweli😍
Watuache na ndoa zetu mkuu...
Raha ya ndoa ni vile wewe unavyo ifanya iwe....
Minaamini, mwanaume anaegoma kuoa huyo nj muhalifu, muoga na aise na uwezo wa kuiongoza na kuisimamia familia kama mume na baba.
 
Back
Top Bottom