Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
We Manzi yako Si hii hapa financial services sasa upewe mara ngapi?Sasa hiv nipo kwenye mfungo na katka hitaji nnaloomba ni Mungu anipe ninaestahili...hakika apatae mke amepata kitu chema...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Manzi yako Si hii hapa financial services sasa upewe mara ngapi?Sasa hiv nipo kwenye mfungo na katka hitaji nnaloomba ni Mungu anipe ninaestahili...hakika apatae mke amepata kitu chema...
Aah...hamna mkuu...Kuna agape love afu Kuna huu wa upande mwingineWe Manzi yako Si hii hapa financial services sasa upewe mara ngapi?
Wewe unataka nini kwani Si mke au?Aah...hamna mkuu...Kuna agape love afu Kuna huu wa upande mwingine
Kabisaa mkuu...Wewe unataka nini kwani Si mke au?
Hongera Kwa kupoteza uhuruWakuu naoa mimi[emoji23][emoji23]
Alooo [emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34.
Wadogo zangu wote walishaoa
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani.
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimi”…..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote.
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli.
Nikatoe kizazi bora.
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Huyu hapa financial servicesKabisaa mkuu...
Saa 12 awe nyumbaniHongera Kwa kupoteza uhuru
Teamor teamo....😘Usinizoee
Ikiwa heri nipo tayar kwa lolote mkuu..Huyu hapa financial services
JilipueIkiwa heri nipo tayar kwa lolote mkuu..
😂😂😂Pole sana kwa kuingia kwenye matatizo
Kama sio bikira unaenda kuoa malaya
Ni wivu tuVina mda basi Mwaka Miaka 2 tayari kishanuka
Hilo ni muhimu ila kuomba Mungu akupe anaestahili ni muhimu zaid...Jilipue
Unanionea wivu?Ni wivu tu
Ndio jilipueHilo ni muhimu ila kuomba Mungu akupe anaestahili ni muhimu zaid...
Kitu Gani uliona Kwake Io siku ulivomuona mpaka kurealize ndo the oneWakuu naoa mimi😂😂
Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34.
Wadogo zangu wote walishaoa
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani.
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimi”…..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote.
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli.
Nikatoe kizazi bora.
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Umemaanisha nini hapo?Kitu Gani uliona Kwake Io siku ulivomuona mpaka kurealize ndo the one
🤝Sawa mkuu