Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wakuu naoa mimi😂😂
Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34.
Wadogo zangu wote walishaoa
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani.
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimi”…..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote.
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli.
Nikatoe kizazi bora.
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Hongera.Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Ila hakikisha mkeo mtarajiwa haujui mfuko wako kwa 100%.
Utapeli umezidi mno siku hizi.
Mwisho wa yote ishi naye kwa akili kama vitabu vya dini vinavyotuambia