Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.

...inasikitisha, lakini ukisema sana utaishia kuonekana adui!! ndio maana jana mie nikasema "nimezima fegi, mie jibwa koko malumbano siwezi."!!! hili ndio tatizo mojawapo kubwa sana linalotuangusha waTZ.......ujuaji, wakati hata ile baseline knowledge juu ya mambo inayumba!! ukisema ukweli unaonekana wewe namna gani na blah blah, ni sawa na yule mwingine kila siku anakuja hapa na hadithi zake za Nyerere utafikiri sisi hatukuishi wakati wa Nyerere...au sijui nini, mara nyingine ua nadhaniaga kuwa hawa jamaa ni mentally handicapped kiana flani!!! Gademu.


loooh, au bila kujua nimewasha moto chini ya mzinga wa nyuki???!! mtanisamehe, kwani nilikuwa sina taarifa hizo.......LOL
 
Hivi mbona watu mmekuwa obsessed na kubishana wenyewe kwa wenyewe . What is someone going to benefit by wiining an argument at JF ?

...huwezi kusema habari za wagonjwa zinapatikana kwenye internet, halafu utegemee watu wakae kimya!!! halafu ukiambiwa unakua mkali, ukiachiwa..badala ya kujirekebisha unakuja na nyuzi kuwa balali kafikia Madison, WS!!! ukiambiwa unakuwa mkali, ukiachiwa unakuja na nyingine mupya......lazima haka ka-cycle kakome!!
kama kweli tunausongo na TZ basi tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana lazima ikome kuanzia hapa hapa JF....sio watu wana-demand stds za juu toka kwa wengine, wakati wao wenyewe hawawezi kuishi kwa mifano!!

asante.
 

nice try.. you are very emotional tudei! calm down.
 
Pamoja na "state ya Boston", hivi mtu unakaa unyamwezini miaka ishirini halafu unajiweka katika wachambuzi na bado una audacity ya kuja hadharani ku present issues huku ukisema "state ya Boston"?

Hili linanipa mashaka kuhusu mengine mengi tu.
 
Ebo!!! yani bado mnabishana tuuu? Ijumaa hii ebu mchill kidogo sasa kha!!!!!
YNIM, njoo ujumuike kwenye kusherekea ushindi wa Man U weka upinzani pembeni..Nina Jezi ya Man U ina jina lako imeandikwa Moscow 08.

Ila hii ligi ya huu ubishi wa wapi kifo cha Ballali kimetokea nimekoma nao, serikali wanadai kafia Boston, JF wanadai kafia nyumbani kwake Washington DC..kilikuwa kifo cha ghafla, dada wa marehemu walikwenda DC kumjulia hali....Tuamini nini sasa?
 
Pamoja na "state ya Boston", hivi mtu unakaa unyamwezini miaka ishirini halafu unajiweka katika wachambuzi na bado una audacity ya kuja hadharani ku present issues huku ukisema "state ya Boston"?

Hili linanipa mashaka kuhusu mengine mengi tu.

hapo sasa, tena bila kuona aibu na pengine kuomba ifutwe!! au yule anayesemaga Nyerere alikuwa Saint wakati tunajui..he was not!!
 
Jamani,
Naona mmezoea popcorn. mimi nina mapengo mwendo huo siuwezi, so leo karibuni filigisi aka gizzards (but not lizzards - if inglishi is noti richebo)
kwa mchuzi wa kwa miondoko ya Mos Def - Sex, Love & Money.
 

..tunawekana sawa tu!! lazima tabia ya kuoneana aibu, kuchekeana na kulindana ikome!! kama una pumbalize, basi utaambiwa tena bila aibu...kama unakuja na hizo one liner (MKJJ), "we mshkaji una emotions sana"!! mie sijali...binadamu yeyote wa kawaida lazima awe na emotions unless ana hitilafu!!.
 
Pamoja na "state ya Boston", hivi mtu unakaa unyamwezini miaka ishirini halafu unajiweka katika wachambuzi na bado una audacity ya kuja hadharani ku present issues huku ukisema "state ya Boston"?

Hili linanipa mashaka kuhusu mengine mengi tu.

Kama kuna mtu alisema haya ya State ya Boston, je ameomba msamaha?
 


yeah.. lakini wengine emotions zao zinaongoza fikra zao na hivyo wanajikuta wanatawaliwa na emotions. Kitu kimoja kuhusu emotions ni kuwa wakati mwingine zinadanganya; mtu anayefuata emotions atajikuta kwenye matatizo mengi kwani hali halisi yaweza isiwe hivyo. Ndio maana unapojadili mambo mazito kama yanayohusu Tanzania lazima mtu alinde sana emotions na kuhakikisha haziingilii uchambuzi yakinifu wa hoja na ukweli. Ndio maana nimeshauri kuwa you need to "calm down" kwa kweli itakusaidia sana kujenga hoja.
 
Kama kuna mtu alisema haya ya State ya Boston, je ameomba msamaha?

..thubutu, aombe msamaha afe!!?? kadindisha kuwa, "nipo sahihi wala sijakosea chochote." hapo ndipo panapo kera zaidi..........watu lazima wawe accountable, ama sivyo we're doomed tena kuanzia hapa hapa JF!!. high stds kwa kila mtu na sio selected groups......alah.
 
Sasa haya yatakuwa mambo ya "We goofed" kama wale jamaa wa serikali.

Kukosea imo, lakini siyo misinformation kibao, misinformation is worse than no information! ( e.g Balali kafa state ya Wisconsin mara "state" ya Boston) yote hayo huku unajitutumua kuonekana unabreak news inayovunda tayari.

Kisa?

Kama angekuwa ripota na mimi editor kazi hana.
 

hayo ni wazo yako binafsi.......kama kawaida, hizo ni politics tu!!
 

Icadon,

Mnashangilia ushindi wa mvua na matuta?
 
hayo ni wazo yako binafsi.......kama kawaida, hizo ni politics tu!!

Humu naona kuna watu wanataka wakulishe sumu eti wewe ukubali tu!yaani ni hatari sana kuwa mtu wa ndiyo mzee hata kama kuna utata!Mtu unaweza ingizwa chaka hivi hivi!
 
Jamani,
Naona mmezoea popcorn. mimi nina mapengo mwendo huo siuwezi, so leo karibuni filigisi aka gizzards (but not lizzards - if inglishi is noti richebo) kwa miondoko ya Mos Def - Sex, Love & Money.

Para pap pa, pap papp paap papp paap pa paa Sex, Love Money...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…